Mjadala huru:Kati ya Haruna Niyonzima na Nadiri Haroub Cannavaro nani alistahili kupewa Milioni 100

yeah mkuu
Tukumbuke Kamusoko kaitwa Timu yao Ya taifa kusema kiwango kimeshuka sio kweli itakua ni uchovu tu na pia ancheza namba ngumu 6 uwanjani lazima uchovu utamsumbua.
 
Anamzidi George Kavila wa Kagera Sugar? Nidhamu sio mzuri kihivyo ana makosa mengi ya kinidhamu kafanya ndani na nje ya uwanja
Hebu nitajie makosa ya Canavaro Nje ya uwanja na ndani ya uwanja?
 
Tukumbuke Kamusoko kaitwa Timu yao Ya taifa kusema kiwango kimeshuka sio kweli itakua ni uchovu tu na pia ancheza namba ngumu 6 uwanjani lazima uchovu utamsumbua.
True mkuu nimekuelewa
 
Back
Top Bottom