Mjadala huru! Ni sekta ipi inayoendeshwa na Serikali inafanya vizuri?

HAKUNA
 
Acha hadithi za kutunga,wewe ni Mchina? Attitudes na culture mko sawa?

Ulipo hapo utakuta toto lako jambazi hata kulilipoti huwezi na unajua linasababishwa shida Kwa watu afu unazingua.
 
Ni biashara hiyo. Labda kam huelewi maana ya biashara
Unaweza kunitajia investment ya TRA mzee ? TRA wanatoa service.

Ingekuwa biashara wangekuwa wanatoa gawio.

Haiingii akilini kwa taasisi kuwa na turnover ya trilioni 18 halafu isitoe gawio kwa serikali kama inafanya biashara.

Mamlaka ya bandari ina turnover ya bilioni 900 ila inatoa gawio kwa sababu wanafanya biashara.

Wangeiachaje TRA kwa trilioni zote hizo ?
 
Ukiangalia kwa undani unahisi kila sehemu inayoingiza pesa inahitaji mbia.

Kwanini tusianze na chama tawala?
 
Acha hadithi za kutunga,wewe ni Mchina? Attitudes na culture mko sawa?

Ulipo hapo utakuta toto lako jambazi hata kulilipoti huwezi na unajua linasababishwa shida Kwa watu afu unazingua.
Jambazi ni Nape na Makamba ndiyo majizi na Riziwani madawa ya kulevya.

Tunasubiri muda yaani kama yanavyojitahidi kumtukana Dkt Magufuli na kumdhalilisha ndivyo yatakavyotendewa
 
Kwahio solution ni kuweka level playing field na kuruhusu competition na sio kuwamilikisha the Kitchen Sink.....
 
Kusimamia Bandari na Genge kipi kigumu?
 
Jambazi ni Nape na Makamba ndiyo majizi na Riziwani madawa ya kulevya. Tunasubiri muda yaani kama yanavyojitahidi kumtukana Dkt Magufuli na kumdhalilisha ndivyo yatakavyotendewa
Chuki na uzushi vimekuongea mtaji kiasi gani?
 
Maana yake Serikali hakuna wanachoweza kusimamia hata kimoja

Basi hata Kama ni hivo hata Urais tutafute kampuni ya kufanya nao ubiya.

Watusaidie kwenye kiongoza๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š(kidding).
 
Mradi wa kununua wapinzani hapo walifanikiwa mengine yote hakuna
 
Maana yake Serikali hakuna wanachoweza kusimamia hata kimoja

Basi hata Kama ni hivo hata Urais tutafute kampuni ya kufanya nao ubiya.

Watusaidie kwenye kiongoza๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š(kidding).
Kwenye nchi zilizoendelea Serikali haifanyi biashara
 
Jambazi ni Nape na Makamba ndiyo majizi na Riziwani madawa ya kulevya.

Tunasubiri muda yaani kama yanavyojitahidi kumtukana Dkt Magufuli na kumdhalilisha ndivyo yatakavyotendewa
Sio mahali pale hapa
 
Bora kubinafsisha kitu kilete tija kuliko kujifanya wazalendo halafu kutwa kulihujumu taifa kwa kufanya ufisadi

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
The question is... Kitaleta Tija ?

Ngoja nikupe Scenario..., Kuna Kampuni / Taasisi they are too Big to Fail....

Mfano unadhani Benki kubwa ikibinafsishwa alafu ikapata hasara nini kitatokea ? (Wataacha market forces zifanye yake sababu ni Private Company) ? Jibu ni hapana, vitu kama Benki Kubwa, National Housing, Bandari, Tanesco, Reli n.k. vikipata faida muwekezaji atakula percent yake na nyie kuwapa..., ikienda Pear Shaped Ni kodi zako ndio zitampa Ruzuku mwekezaji ili aendelee ili Uchumi usishuke au isitokee Hasara Kubwa (it has happened everywhere from UK to USA)

Kwa ufupi akipata faida anakula kwa furaha..., akipata hasara mlipa Kodi anamlipia...,

Only way forward waanzishe vyao from scratch na wapewe fair playing filed na sio kupewa Favors (If they are that good let them start from scratch) Hizo Taasisi nyingi zina millions of assets na hawachelewi kuzikopea mikopo na kuziacha mayard matupu na huenda hata hayo kupigwa mnada...., Kama tumeshindwa kusimamia Mashirika ya UMMA ambayo kila kitu CAG anaweza kuingia na kuangalia ije kusimamia Private Sectors which can Cook their Books and inflate / deflate their Net-worthy....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ