Mjadala: Ipi ni Sexual Fantasy yako?

Why is it seems that you know alot of these people???hmm
 
Jamaniii anibless Mimi. Sitamwambia mtu
Ndo maana wadada wanatoa jicho kwa MTU maalumu Sana umejibu kiume Sana Kausha Siri yako.
Nikiwa chuo wale wadada wasagaji wanapenda kumpata MTU anaejua Kula jicho vizur .asee niliotea wamama tena wake za watu nilikula jicho mpaka nagraduate sionekanagi na demu maana Wana mawivu.nilikuwa Hadi Waume zao wananiona mdogo .kumbe napewa wasiyopewa.
Hadi Leo sijawah mwambia MTU kamwee.
 
Lady aseno nisha kamua
 
Asha zungu nampataje aisee na ile tattoo yake ya kichina nimle

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Basi unajiona mjanjaaaa mwenyewe na hili jibu lako, haya bana yangu macho tu na masikio, wewe endelea na ufirauni wako sijakushikia panga na wala sina uwezo huo,

We tafuna tu mpaka tani yako kabla haujaenda kaburini kutafunwa na wadudu. Komaa bro
Uzuri anayefanya uzinzi na asiyefanya, wote tutaliwa na wadudu.
 
Kuna yule mmoja anaitwa kivuruge
 
pole sana, Dunia ya sasa haitaki watu wenye akili timamu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…