Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Don't try it, inatisha bhana,Super interesting π€© but not my preference, I want full obedience and control. Nevertheless, I will try it just for the plot π.
Endelea kujifunza βπ½Nimesoma nikashika mdomo, mambo ya duniani ni mengi...
Hem eleza hiyo submission inakuwaje yani.Usiimagine, I can show you kama utapenda kuwa submissive π
Nitajifunza na weweπ€£Endelea kujifunza βπ½
Mwalimu unaye hapo juu mi sio vitu vyangu hiviNitajifunza na weweπ€£
Tutafanya vingine, hivyo gya kwake hata mimi siviweziπ€£π€£Mwalimu unaye hapo juu mi sio vitu vyangu hivi
Mimi vyote hata hivyo vingine sivijuiπ₯²Tutafanya vingine, hivyo gya kwake hata mimi siviweziπ€£π€£
Unafurahia kutokua na sauti, kutii na kuwa mali yangu nikufanyie chochote ninachotaka (kwa kadri tutavyokubaliana).Hem eleza hiyo submission inakuwaje yani.
Acha kuota wewe! porn zisikudanganyeUnafurahia kutokua na sauti, kutii na kuwa mali yangu nikufanyie chochote ninachotaka (kwa kadri tutavyokubaliana).
Kwenye sex naamua ni nini tunafanya, kwa kiasi gani, wakati gani, ninaweza pia kukudegrade au kukupa maumivu ya kimwili, nikufunge, nikupige na mengineyo.
Ukitaka sex wewe unaniomba kwa unyenyekevu na ninaweza kukataa na wewe lazima unishukuru hata kwa kukataa kwangu π€£
Hii knowledge umeipatia wapi mkuu?Unafurahia kutokua na sauti, kutii na kuwa mali yangu nikufanyie chochote ninachotaka (kwa kadri tutavyokubaliana).
Kwenye sex naamua ni nini tunafanya, kwa kiasi gani, wakati gani, ninaweza pia kukudegrade au kukupa maumivu ya kimwili, nikufunge, nikupige na mengineyo.
Ukitaka sex wewe unaniomba kwa unyenyekevu na ninaweza kukataa na wewe lazima unishukuru hata kwa kukataa kwangu π€£
Tutaenda na basicsπ€£π€£Mimi vyote hata hivyo vingine sivijuiπ₯²
Ninayo tu, kiasili niko hivyo napenda kuamarisha amrisha, ubabe, kazi pia ikaniharibu niko kwenye sekta ambayo wanaume ni 95% na huwa nafantasize hata mkurugenzi wangu nimdominate au tuswitch roles awe kama mwanamke wangu nisiyemheshimu hivi π najikuta napata tu hayo mawazo.Hii knowledge umeipatia wapi mkuu?
Kwa hiyo umeshajaribu na umeona ina work?Ninayo tu, kiasili niko hivyo napenda kuamarisha amrisha, ubabe, kazi pia ikaniharibu niko kwenye sekta ambayo wanaume ni 95% na huwa nafantasize hata mkurugenzi wangu nimdominate au tuswitch roles awe kama mwanamke wangu nisiyemheshimu hivi π najikuta napata tu hayo mawazo.
Nilishajaribu nikajihakikishia kwamba napenda π japo lazima mwanaume naye awe anasikia raha kutumiwa au kutumika
Ndio ila sio bongo, kwa sasa natafuta wa nyumbaniKwa hiyo umeshajaribu na umeona ina work?
Kwa bongo wanaume tunataka total dominance, kupata itakuwa ngumu sana, japo pia hiki kizazi chenu kinapenda kujaribu mambo mengi, huenda ukapata.Ndio ila sio bongo, kwa sasa natafuta wa nyumbani
Letβs seeKwa bongo wanaume tunataka total dominance, kupata itakuwa ngumu sana, japo pia hiki kizazi chenu kinapenda kujaribu mambo mengi, huenda ukapata.
Na hii ya slave inaingia hadi kwenye maisha halisi, yaan huyo slave wako unamdominate hadi kwenye mali zake anakuachia, nimeona watu wanaingia hadi mikataba kabisa kati ya slave na master/mistress wake, duuuh! hii dunia hii usije ukasema umemaliza yote baaaado sanaππ»Unafurahia kutokua na sauti, kutii na kuwa mali yangu nikufanyie chochote ninachotaka (kwa kadri tutavyokubaliana).
Kwenye sex naamua ni nini tunafanya, kwa kiasi gani, wakati gani, ninaweza pia kukudegrade au kukupa maumivu ya kimwili, nikufunge, nikupige na mengineyo.
Ukitaka sex wewe unaniomba kwa unyenyekevu na ninaweza kukataa na wewe lazima unishukuru hata kwa kukataa kwangu π€£
Kuna mtu kaniambia jamii ya Waafrica na blacks hakuna hiyo kitu, hayo mambo ni kwa wazungu tu, huku kwa wamatumbi labda umpate gay, hao ni wengi me mwenyewe hua nawakimbiaNdio ila sio bongo, kwa sasa natafuta wa nyumbani
Kwa kweli, vingine ni kujitafutia majuto ya milele. LolHii siwezi mfanyia mtu hata anilipe mamilioni, unaweza kuua mtu ukabaki na hiyo guilty maisha yako yote, nimemkatalia ila hajakata tamaa bado anaendelea kunishawishi nimfanyie, teh