Mjadala: Ipi ni Sexual Fantasy yako?

Kwenye maisha halisi ndio ila kuachia mali mhhh, tusifike huko 🤣🤣
 
Ndo maana wanasayansi wanasema hawawezi kuelewa akili ya binadamu.

Kuna watu fantasy zao ni kulala na maiti na kugeuzwa vyoo, wengine kutapikiwa, kufanya na wagonjwa waliozidiwa, kulamba vidonda nk.

Nilichojifunza ni kwamba tunatakiwa tuwe na mipaka lasivyo tutajisahau sana.
 
Hata Gay mwenyewe anayekubali kuwa Slaver, ni yule hana chake binafsi.
Kuna vitu Gay mwenye kujitambua hawezi fanya.
Hii fetish ya mtu kua slave sio kama hana chake ni dhalili, la hasha, tena nakupa siri matajiri wengi ndio wanapenda kufanyiwa hivyo, yaan huko nje ni boss anaheshimika ila anapenda akiwa ndani umdhalilishe, umtume, umtukane, umwambie maneno mabaya, umpige apate maumivu, akitoka nje mkavuuuu vibaraka wake wanamsujudia😂
 
Hata Gay mwenyewe anayekubali kuwa Slaver, ni yule hana chake binafsi.
Kuna vitu Gay mwenye kujitambua hawezi fanya.
Mimi binafsi kujihusisha na mahusiano na mwanaume haijalishi ni gay au straight ndio hua sipo comfortable ila kama ni transwoman fresh napiga kama kawaida, lol

Gays wanaotaka kua slave wa mtu sio kama hawajitambui, wana maisha yao mazuri tu ila ni fetish yao hakuna namna
 
Sahihi kabisa haya mambo ukiingia deep sana unaweza jikuta unauza nafsi yako kwa Lucifer, huyo jamaa anayetaka nimfanyie hiyo Mummification anakwambia akishafungwa fungwa hivyo sasa naweza kumfanyia chochote kibaya ninachotaka, hapo kama nataka kumkojolea mdomoni ni mimi tu, nimtemee mate yeye sawa tu, nimkanyage usoni na kiatu anashukuru tu, as long as hawezi kujitetea kwa chochote
 
Mapenzi uchizi ndo huo sasa, huyo yeye anapenda kumilikiwa afinyangwe sawasawa akitoka hapo hoi kabaki na pumzi tu

Ni kama wale ambao tukiona kitu kizuri kinachovutia unatamani kingekuwa kinalika ukile ufaidi, mfano nina ujenzi kidogo sasa fundi alitengeneza kona nzuri sana ya ukuta, nilitamani ingekuwa keki niile walau niufaidi utamu wake
 
😂😂😂😂😂😂😂 mahi nimechekaaa hatariiii.
Sijui labda nina hulka ya tofauti, sipendi mwanaume wangu nim mudu, nitaona km mwenzangu tyuu,
Napenda niwe na jamaa anaye nimudu, sio kwamba niwe slaver wake hapanaa.

Kuna hulka na silka nataka awe nayoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…