mamsapkhan
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 843
- 267
Inawezekana kabisa kusiwe na madhara lakini kwanini ushindwe kuvumilia tu kwa wakati huu.Unajua Mungu wetu kila jambo alilolifanya ni jema sana ametupatia siku karibu 20 hivi za kufanya jambo hili uzuri na mazingira safi,ipokuwa mwanamke akiwa katika hali hiyo ameagiza tusimguse hasa kwa Wakristo yapo maandiko kabisa na upande wa pili sina uhakika sana ya kitabu chao kinasemaje,lakini asilimia kubwa ya maneno ya vitabu hi yanashahibiana sana kasolo lugha tu.
ukifanya na Mwanamke yupo kwenye siku zake Za Hedhi kama atashika mimba basi mtoto atakaye zaliwa anaweza kuzaliwa na maradhi ya ukoma au wewe ukapata matatizo ya Ukosefu wa nguvu zako za kiume.
Damu ya Mwanamke ya hedhi inaweza kukuharibia wewe nguvu zako za kiume tahadhari sana.
Sasa ulienda kusoma nini nje kama hata kitu kidogo kama hicho hujui?????
cjaenda kusomea mapenzi
hebu wanaume muwe na kiasi kwan kwa ck3-5 hutopungukiw n kitu mwach mwenza wako aondokane n hali hy;