MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Wewe kweli kuku mgeni. Hiyo kamba wamekuvalisha shingoni lazma ikuue. Ukituma pm kwangu umejitaftia ban ya maisha.

Swali la ugomvi, unaweza kufanya mapenI siku za mvua?
Mhh... Am I new here ? Why should it copied to P A W ..?!!

CC--King'asti-,-

... Mhhh ngoja iwe hivi!!!,

This make all work very perfect ... kwanza will make you-understand-your self that means not in-public
Pili, with pm offfcozz.. we will-understand-each other ... hapo huna cha kusema ... better yield faster!!!:clap2:
 
Jaman jaman jaman ebu tuachage uongo mwanamke atapataje mimba kwny period wakat pale ndo yai linakua limeharibika kwa kukosa mbegu! Ndo mana utasikia mwanamke akisema mwez huu sijaona cku it miz yai halikuharibika coz mimba(mbegu zimeingia) imetungwa zat y damu(uchafu) haujatoka....YAN bleeding ni mimba kushndwa patikana na hvy yai kutorutubika hvy kupelekea kuharibika!
 
Nadhani nimesema magonjwa ya zinaa NA hepatitis b. Hepatitis b na cervical cancer haziitwi magonjwa ya zinaa japo yanaweza kuambukizwa kwa kupitia kujamiina pia. Ungeweza kusoma zaidi....

Daah, Hongera bibiye, unajua sana kujenga hoja, manake unaacha na mlango wa kutokea iwapo utabanwa. Saafi
 
mkuu mwanamke hawez kupata mimba akiwa ktk cku zake, kwa sababu wakat huo ovary hazijatoa yai lingne
Uwezekano upo mkuu, usikariri bailojia ya sekondari, kuna wale wenye short cycles (21 days) hao wanaweza kupata ujauzito wakiwa kwa hedhi
 
Bibie King'asti I miss you ngojea niombe kisha ndio nilale

Chapter 6-9-13

[TABLE="width: 90%"]
[TR]
[TD]9
[/TD]
[TD]Basi, hivi ndivyo mnavyopaswa kusali: `Baba yetu uliye mbinguni: Jina lako litukuzwe.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10
[/TD]
[TD]Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11
[/TD]
[TD]Utupe leo chakula chetu tunachohitaji.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12
[/TD]
[TD]Utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13
[/TD]
[TD]Usitutie katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu. (Shetani) na utukufu, hata milele. Amina.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Na Nikiomba kwa Dini yangu ya Kiislam.

1. SURAT AL-FAATIH'A AYA 1-7

1. KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

2. Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote

3. Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu

4. Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo

5. Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.

6. Tuongoe njia iliyo nyooka
7. Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.

Ameen.
Mbona hizi sala zinafanana?
 
Jaman jaman jaman ebu tuachage uongo mwanamke atapataje mimba kwny period wakat pale ndo yai linakua limeharibika kwa kukosa mbegu! Ndo mana utasikia mwanamke akisema mwez huu sijaona cku it miz yai halikuharibika coz mimba(mbegu zimeingia) imetungwa zat y damu(uchafu) haujatoka....YAN bleeding ni mimba kushndwa patikana na hvy yai kutorutubika hvy kupelekea kuharibika!

Kuna uwezekano wa kupata mimba wakati wa menstruation. Menstruation ni kubomoka kwa kuta za uterus kutokana na mabadiliko ya hormones, kwa watu wenye mzunguko mfupi inawezekana yai likakomaa na kuingia ktk mirija ya mayai wkt wa hedhi. Ni kama vile kuna mizunguko miwili, menstruation cycle na ovarian cycle(uzalishaji mayai), na ni kama inaenda pamoja ila kukitokea hitilafu bas mimba uinaweza tokea wkt wa hedhi.
 
sio naacha mlango wa kutokea. i know what i am talking of na sio kama nabahatisha. ila stay tuned, never rely on science. sasa hivi ataibuka mwingine na hoja tafauti utabaki unashangaa:glasses-nerdy:
Daah, Hongera bibiye, unajua sana kujenga hoja, manake unaacha na mlango wa kutokea iwapo utabanwa. Saafi
 
mvivu wa kusoma na mwepesi wa kuhukumu. shauri lako!
Jaman jaman jaman ebu tuachage uongo mwanamke atapataje mimba kwny period wakat pale ndo yai linakua limeharibika kwa kukosa mbegu! Ndo mana utasikia mwanamke akisema mwez huu sijaona cku it miz yai halikuharibika coz mimba(mbegu zimeingia) imetungwa zat y damu(uchafu) haujatoka....YAN bleeding ni mimba kushndwa patikana na hvy yai kutorutubika hvy kupelekea kuharibika!
 
Habar wana jamii! naomba kujuzwa ya kuwa ni madhara yapi mtu anaweza kupata endapo kama atafanya mapenzi wakati mwanamke yupo kwenye hedhi?(awe mke au mume?).
 
Sijafanya, ila mara nyingi huwa nasikia wa2 husema ni vibaya, sasa nilitaman kujua ili hata cku m2 akiniuliza nisikose jibu la kumpa.
 
Sijafanya, ila mara nyingi huwa nasikia wa2 husema ni vibaya, sasa nilitaman kujua ili hata cku m2 akiniuliza nisikose jibu la kumpa.
 
Si vzr na si salama kwa afya haswa mwanaume,km una magonjwa inakua rahis kumuambukiza..kua mvumilivu subir amalize mfanye,for ur own gud!
 
Habar wana jamii! naomba kujuzwa ya kuwa ni madhara yapi mtu anaweza kupata endapo kama atafanya mapenzi wakati mwanamke yupo kwenye hedhi?(awe mke au mume?).

Mkuu,kwa mwanamke huweza kupata ujauzito bandia ( miyoma) Na kwa mwanamume hupata tatizo la kuziba njia ya haja ndogo mambo yote hayo ni hatari kwa afya ndugu
 
hakuna tatizo ni tamu mno mkuu kitu kinakuwa cha motoooo alafu kidogoooo
 
Wapo wanaosema, wanaume huwez kupat maumiv y mgongo yaan mgongo unauma sana. Pia n uchafu kwan ile damu n sumu.
 
Ila mi naona mwanaume akivaa kondomu hamuna tatizo, mi huwa navaa kondomu tunado mpenz wangu akiwa hedhi
 
Back
Top Bottom