MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

kama mwanamke aliwahi kuugua STDs kuna uwezekano mkubwa wa mwanamme kuambukizwa kama matibabu hayakufanyika ipaswavyo
 
Mmh jamani, hata uvumilivu wa siku tatu ni mgumu mpaka tutafute tanzanite kwenye kina kirefu cha bahari wakati waweza subiri bahari ikapwa na ukaziokota bila hata jasho....?
 
Kinadharia hakuna madhara yeyote kufanya tendo la ndoa wakati wa hedhi. Ila kuna risk zinazoambatana na tendo hili wakati huu; kama ni ngono zembe na mwanamke ana virusi vya ukimwi basi uwezekano wa maambukizi kwa partner ni mkubwa zaidi,

kama mwanaume ana magonjwa ya zinaa basi ni rahisi zaidi kumuambukiza mama kwani damu ni kirutubisho kizuri kwa ukuaji wa bacteria, kuna wa wenzangu wana tabia ya "kupotea" njia mara wanaporekebishwa na kurudi kwenyewe wanaingiza bacteria wengi tu ambao wanaweza kusababisha uke kutoa haurfu mbaya.
 
Its ok for a man to daydream about a 'gal'
Cc snowhite

WELL SAID King'asti , I THINK Mzizi Mkavu is day dreaming, dreaming of King'asti !

eeh umbea ushakuwa ajira sasa eeh

asante baba. Watatuona hivi hivi!
Ngoja nipite kiwanda cha Urafiki niweze kukariri maneno ya kwenye zile khanga nije kukusuta

Lol
afadhali umenunua hii kesi. Kavaa kibwaya na ngoma si yake!
Shemeji wala huna haja ya kwenda urafiki MANAKE WENGINE HII NDIYO FANI INAYOTUWEKA MJINI...............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ngoja nikusaidie kidogoooooooo kumtoa nishai Baba V......... WEEE KARAMU SII YAKO MASINIA WABEBA YA NINI??

Usimalizie na wewe nawe. Tutakusuta na kukupiga ban, hakuna sounds hapa!
Mmh! Interesting!. A doctor's head; sounds like....
 
Last edited by a moderator:
Mshenga kawa partner tena, duuuh! Tunaongelea magonjwa ya zinaa pamoja na hepatitis b. Kwa sababu hapo ni full damu. Kama condom ikitumika basi usalama utakuwepo. Nadhani point nzima ni kuwa usijifikirie kuwa salama zaidi just becoz she is bleeding and cant get pregnant.

Honestly? The period can be a horny day. Kama bleeding ni ya kawaida wala mashuka hayachafuki (usiniulize nimejulia wapi, koma!)
Karibu tena Partner!

Naomba ufafanuzi, magonjwa yapi hasa? Na kama wakiamua kujivinjari ya kutumia kifudusi inakuwaje?

Mimi nafikiri ni sababu ya kimapokeo zaidi, na pia kisaikolojia tendo haliwezi kufurahiwa kama bi dada akiwa dry
Inawezekana kuna kuwa na hofu ya kuchafua mashuka, si unajua kufua madoa mekundu ni ishu

Ila nasikia inakuwaga tamu kweli, kugusa tu!! Haaaah

Read bruh, READ!
Afu urudie comment yangu ndo utaelewa. With human bodies usikremishe kuwa mimba inapatikana 11th through 14th day of the cycle. Utasandaaa!
mkuu mwanamke hawez kupata mimba akiwa ktk cku zake, kwa sababu wakat huo ovary hazijatoa yai lingne
 
MziziMkavu, UKOMA? Hii uliambiwa na babu yako ama baba? Na kuhusu kujichua, si uliambiwa utakatika vidole na chululuu kutoweka?

Hilo jina la "chululu"
alikuwa analitumia maza wakati niko mdogo.
Umenikumbusha mbali sana.
 
Last edited by a moderator:
Aagh mi cwezi,ukiingiza Dushe ukitoa lina damu.Afu nyingine huwa zinanuka.C'mon u have to wait aisee siku nne au tano sio nyingi.Trekta yangu halimi kwenye matope bhana.
 
hello jf doctors!
Kuna madhara yoyote kwa pande zote mbili endapo tendo la ndoa likafanyika pindi mwanamke akiwa katika siku zake?
Nawasilisha
hakuna......
StivieDii unaweza kuwapa uzoefu unazamia chumvini shori wako akiwa mwezini.....
 
my friend hiyo ni big noma,Yaani usijaribu kabisaaa,
si unaona siku hizi watu wengi wnalalamika ohoo naishia bao moja tuu mara ohoo jongoo halipandi mtungi, mara ohoooo.....
ule kyepe yai mazoezi mbwiga wewe hufanyi....unashinda kunywa viloba na mabeer yenu yasiopimwa...lazima upate matatizo ya kudindisha.....

kwa taarifa yako....kulala kinyumba na shori alie enzini ni taamu aiseee.....unaweza kuzamia kwa chumvi na usipate madhara yoyote zaidi ya kuonyesha mapenzi ya dhati kwa shori wako.....
 
Mambo ya Walawi 20:18 - "Tena mtu mume akilala na mwanamke aliye na ugonjwa wake, na kufunua utupu wake, amelifunua jito la damu yake, naye mwanamke amefunua jito la damu yake; wote wawili wakatiliwe mbali na watu wao"

Dah hapa kazi ipo
 
Nimejua mengi ila utata mwingine kwamba kwa nini mimba itungwe au isitungwe pindi mwanamke anapokuwa kwenye MP?
 
Mshenga kawa partner tena, duuuh! Tunaongelea magonjwa ya zinaa pamoja na hepatitis b. Kwa sababu hapo ni full damu. Kama condom ikitumika basi usalama utakuwepo. Nadhani point nzima ni kuwa usijifikirie kuwa salama zaidi just becoz she is bleeding and cant get pregnant.

Honestly? The period can be a horny day. Kama bleeding ni ya kawaida wala mashuka hayachafuki (usiniulize nimejulia wapi, koma!)

Read bruh, READ!
Afu urudie comment yangu ndo utaelewa. With human bodies usikremishe kuwa mimba inapatikana 11th through 14th day of the cycle. Utasandaaa!

Asante Mshenga kwa mashule, shua wakati wa hedhi kunaposibility ya kutia mimba hasa kwa wale wadada wa short cycle (21 days instead of normal 28 days)

Nimesahau, naomba nikumbushe hepatitis B nao ni ugonjwa wa zinaa? Basi hata mafua ipo siku itakuwa ugonjwa wa zinaa!!! Hahahahah, anakusalimu my wife Preta
 
Hehehe are you sure pm will help you understand me? Mie mwenyewe sijaji-understand hadi leo! Majangest!

... Mhhh ngoja iwe hivi!!!,

This make all work very perfect ... kwanza will make you-understand-your self that means not in-public
Pili, with pm offfcozz.. we will-understand-each other ... hapo huna cha kusema ... better yield faster!!!:clap2:
 
Hahaha are u my bro? Mamangu nae alikuwa anaita hivyo. Nice memoirs!
Hilo jina la "chululu"
alikuwa analitumia maza wakati niko mdogo.
Umenikumbusha mbali sana.

Nadhani nimesema magonjwa ya zinaa NA hepatitis b. Hepatitis b na cervical cancer haziitwi magonjwa ya zinaa japo yanaweza kuambukizwa kwa kupitia kujamiina pia. Ungeweza kusoma zaidi....

Back
Top Bottom