MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Wanaoweza kufanya hivi wakati wa hedhi ni lazima wana utindio wa ubongo. Haingii akilini kabisa watu wenye akili timamu wavuane chupi kipindi hiki.

Duh unakulaje sasa? Yaani damu zinatoka halafu wewe unaendelea kula? Hata kusingekuwa na madhara bado haiingii akilini kwa hali ya kawaida kabisa kula mzigo kwa style hio.
 
a siku ambient mtu bhana....mtoto anakuwa wa motooooooo
 
acheni kuogopesha watu.mzigo unaliwa kama kawaidaa hizo zingine ni hisia zenu
 

Penis ikiingia mule ndani si itasababisha michubuko. na ukifanya sana unaweza kutoa vipande vya nyama.

Kwa sababu kipindi hiki ni kipindi ambacho ukuta unakuwa laini na matokeo yake unamong'onyoka (unamegeka). Au Dokta unasemaje?
 
Kwan ukikaa ukasubir upone unapata tatizo gani,kwa upande wangu cwez ni uchafuu tu naona
 
Ndo maana Zambia wameanzisha siku ya mama ambapo ni siku mwanamke akiwa kwenye hedhi. anapewa mapumziko, huku kwetu sijui inakuaje.
 
Wakubwa shikamooni,wadogo marhaba, rika moja mambo!

Wakuu Jana kidosho wangu tukiwa tunajiandaa kula vyetu adimu, wakati tunacheza michezo ya kuleta mizuka mara simba hawa!rediii harafu mimi mnara umesoma kinoma, kitu kimenyoka balaa. Nikicheki figa ya demu wangu hatarii namba 8,mkia Wa kondoo, chura wa snura anaingia mara3. Yaani kidogo nile bila kujali tomato.

Sasa wenzangu, je ningekula tu au vipi, maana nilibaki na hamu zangu.
 
Wajuzi nijuzeni
 
Duh mi huwa nakula na mfuko wa kuzuia tomato
 
Sema tu ukweli na deki ulipiga kabisa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…