MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Mimi ni mmoja ambao huwa siku hizi huwa siangalii huwa na DO tu........sijaona madhara yoyote kuna wakati jamaa aliniambia kuna madhara kama kupata kansa ya kibofu na magonjwa mengie ya kibofu....

sasa kama unafahamu lolote kuhusu hili zaidi basi mwaga hapa kila ili na wengine ambao wanaDO hii style lakini wanaogopa kusema
 
Inategemea na mtu. Kunawengine wanaugua sababu ya MP, na wengine haina tofauti na siku za kawaida maana wanableed very little. Harufu mbaya ya kukera nisuala la usafi2 na magonjwa.
Cycle inaratibiwa mainly na OESTROGEN & PROGESTERON HORMONES. Tunatakiwa kujua ipi ni peace maker, je hiyo peace maker huwa ipo at high level wakati wa MP?
 
daaaah

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Sikujuwa na nilmfosi kisa nasafiri kwa sababu ananipenda akashidwa kugoma nmeshituka asubuhi ninavyoenda kuoga na nmepiga hasa hadi ameshindwa kwenda kazini Leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshalaaniwa ww

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Back
Top Bottom