MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Hedhi mbona ni siku chache ? Una ukame wa namna gani mpaka ufanye mapenzi siku hizo ??
 
Safi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale walio amini kama mimi haijuzu kufanya tendo la ndoa wakati ahaly yako akiwa katika siku zake.

Kisheria inakupasa mwanaume umlipe mwanamke kiasi kadhaa cha fedha.

Fatwa zaidi inahitajika katika hili.
 
Najua hii ni post ya zamani ila; kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni UCHAFU MKUBWA
Kimsingi kushindwa kukaa bila ya kufanya mapenzi kwa siku tano au wiki kwa kusubiria mwenza amelize hicho kipindi ni hatari kwani inaonesha mwanamme wa nana hiyo hawezi kukaa bila kufanya mapenzi (anafanya mapenzi year round!!!!)

Je: mwanamke akiugua huyo mwanamme hufanyaje? Kwa lugha nyingine huyo mwanamme ni Waasharati !!!

Naamini kabisa kwa wanawake wanaojitambua na wanaume wanaojitambua pia hawawezi kukubali hicho kitendo; NI UCHAFU!!!
 
Ni madhara gani mtu anaweza kupata akifanya mapenzi au tendo la ndoa na mwanamke aliyeko kwenye siku zake?
Thoughtfull....... I think so Poa kuspill. Mali on the surface kwan huinjoi event harufu tu ni kero. Kama una-enjoy basi we ni mjukuu wa mnyama.
 
habari wana bodi ya jF.

naomba msaada wenu wataalamu wa afya au we uzoefu na swala la kufanya mapenzi wakati mwanamke akiwa kwenye hedhi.

ni madhara gani mwanamume anayapata kwakushiriki tendo hilo bila kinga mwanamke akiwa hedhini??

muhimu: (sio kama unadhamiria kufanya mapenzi wakati wa hedhi)
imekua ikitokea wakati mtu unafanya mapenzi na mkeo ghafla wakati shughuli inaendelea inapelekea mwanamke kubleed na hedhi kuanzia siku hiyo hiyo au wakati ambapo zile siku zake za hedhi kuisha pengine siku moja baada au mbili mkikutana hujikuta ile damu ya hedhi ikitoka tena kana kwamba ilisahau kutoka na baada ya hapo haiendelei tena.

wataalam na wenye hekima hebu mnijuze tafadhali!!
nawasilisha.
 
Baba jay'rose,
Hiyo yaweza kuwa Ni dalili kuwa huyo mkeo ana tatizo amamuone daktari was wa magonjwa ya wanawake.

Lakini huwenda Wewe humuumiza au kumchubua kuta za uke na kupelekea kuiona hiyo damu!
MADHARA.

Huweza kupata maambukizo ya maradhi. Inasadikika huweza kupata tatizo za kuziba mkojo endapo pipe ikafyonza danu kidogo na kuganda ndani ya pipe hiyo.
 
Mkuu umenikumbusha kitu, niliwahi kuwa na dem alichoma sindano (family planning), nimetoka kambini full ugumu nimekula mzgo katikati akaanza kubleed nkasema haiwezekani nkapiga mzgo fresh, nikavumilia kama siku tano hv (huwa anableed siku tatu tu) damu haikati, nikakabidhi kila kitu kwa shetani nikawa nakula hvo hvo licha ya kulikuwa na kaharufu flani hv kibaya ila skujali,

ila baada ya muda nikapata miwasho ndani ya pipe ila nashukuru nilimsimulia babu tatizo hilo akanipa unga flani mchanyanyiko wa miziz na majani nikawa natia kwenye chai au uji, baada ya siku mbili ile hali ikaisha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwsnza k sio tam, pili hedhi in harufu mbaya. Kwa tuliooa tunajua hili,
 
Nawe usimkaribie mwanamke kufunua utupu wake wakati wa kutengwa kwa ajili ya unajisi wake.

Mambo ya Walawi 18 :19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…