MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Aaaah... binadamu kwiishaaa.... bado kidogo kufokonyoana kwenye mavi watasema haina madhara
 
Wapendwa, tafahadalini waache akina mama wakiwa na hedhi. Uke unajisafisha Pia mtachafua mashuka.
 
in real sense there is no problem , but for the purpose of keeping your health safe it is not advisable and in deed it is not a good act $ :shock::A S 12::lock1::redface:
 
Hili jambo dini zimekataza. Msiwashangae wanaoshabikia. Siku zote dhambi kwa mwanadamu ni tamu. Hakika Mungu ndie mwenye elimu..mbona tusitii makatazo yake.
 
Mimi nahisi niko tofaut na nyie woote,mana kwanza cchagui, cbagui nawashangaa wote uyo kaka na uyo mdada wanaoshiriki ngono ktk hali hiyo.naomba kujua ni ukame,uhaba,ukiwa,au kiu au kakoka magereza!!na ww dada kwa kumpa uko inaonyesha uyo man he cant wait sio. Vp ikitokea kwa mfano umesafir,au unaumwa ina maaana yampasa aende maali akapate huduma ciz he cant wait .
waliosema mapenzi ni uchafu haya tutayaita mapenzi kipindu pindu.

Asanten mashujaa wa mapenzi.
 
Asante kaka,
Ni kweli pia mimi ni mmoja wapo wa wanawake wanaopenda kujamiana sana wakati wa hedhi maana huo ndo wakati najiskia hamu sanaaaaaaaaaaaaaaa.
Kati ya cku za hatari na cku za hedhi ww unakuwa na hamu muda gani?
 
Hili jambo dini zimekataza. Msiwashangae wanaoshabikia. Siku zote dhambi kwa mwanadamu ni tamu. Hakika Mungu ndie mwenye elimu..mbona tusitii makatazo yake.
Kama watu wamefikia kuhalalisha ndoa ya jinsia moja hili halinishangazi.
 
Hivi jamani ni tamaaa gani mpaka ushindwe kuvumilia hizo siku 3 za mkeo,mpaka ufanye akiwa kwenye siku zake!!!huu ni uroho au nn wanaume jifunzeni kuvumilia for 3 days ou more than that!!!!
 
Back
Top Bottom