Ndugu zangu naitaji msaada kwa anaejua dawa ya kuponya MTU Alie Athilika na punyetwo
Na umri WA miaka 24 now
Nlianza iyo muchezo muchafu mwaka 2015 nkiwa form four so now nataman kuacha imekuwa gumu Sana [emoji26][emoji26][emoji26]
Nimejitaidi imeshindikana [emoji134][emoji134]
Imeniasili kwa kiasi flan coz hata nkiwa na sex na toa mbegu kidogo mnoo [emoji24][emoji24]
. kiukweli Hali hii naichukia Sana tena Sana imenipelekea kuachana na mpenzi wangu
Kwa anaejua tiba please, please, please naitaji anifuate pm anisaidie
Coz imekuwa too much
Kuaicha imeshindikana
Natanguliza shukran [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using
Jamii Forums mobile app