Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Huyo humrizishi ndo maana! Tafuta sehem sahihi ya kumkuna akojoe..hatarudia tena kuomba bao la pili...muulize ashikwe wapi akojoe au we ni kiba100? Au vyovyote...
Mwambie aache kufek kukojoa bdala yake aseme anafurhi nini? Kama alikua anapiga punyeto bas keshazoea na weww hakikisha unamchezea kicm hadi akojoe...
Muulize anapenda nini utafurahia ndoa vinginevyo anaenda kuchepuka huyo..
Hlf chunguza kama siyo lesbian
 
Ukiwa na simu ya batani utafanikiwa kwa kiasi fulani kuacha, mi nlikosa smartphone kama wiki 3 hivi sikupiga nyeto, Ile kupata smartphone tu mzuka ukapanda na hivi naishi alone sina hata mchepuko Basi ni kujilipua tu
Kaka naogopa nitazidi kupoteza nguvu zangu kwa mikono yangu mwenyewe.
 
Mm nataka niache nilianza nikiwa form 3 2015 ad now natamani kutoka lakin nakwama nafikilia niache kutumia smart phone
Kunasiku nilipata dem nikapiga bao moja mzigo ukagoma ase nililia xx rasminatangaza nataka kuacha na sim nauza kama mtu anataka nimuuzie tu maana sim ndo tatizo
 

Niambie unatumia simu gani na bei gani unauza
 
Kuacha ni mkakati mrefu, siyo kirahisi hivyo. Labda pia ilikusaidia kupunguza kutumia "chips funga" pengine ingekuwa unapiga njegere kwa sasa.
 
Natamani siku moja niamke nisahau kabisa kuusu huu uchafu hadi nafikiria solution pekee ya kuniweke huru nitumie simu ya batan.

Nifanye nini wana nzengo?
Mkubali Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi na Kiongozi wa maisha yako

Uwe na uhusiano mzuri na Mungu, tenda yanayompendeza, acha yasiyompendeza

Nakuambia utachukia sana tabia hiyo na zote zinazofanana na hizo na utaishi kwa AMANI na FURAHA tele.

Punyeto ni MATESO ni DHAMBI na inakuweka mbali sana na Muumba wako kiroho.
 
Kila kitu ni nia, ukitia nia unaweza ila binafsi ninaamini kuwa ukiwa bize na shughuli za hapa na pale inakufanya mtu ubongo wake ukoconcetrate katika mambo mengine ambayo ni ngumu kukupelekea kuwaza ngono.
PUNYETO ni jambo ka kiroho zaidi, ina connection kiroho na inaachwa kiroho

Utasoma vitabu sana, utafanya mazoezi sana lakini utaweza kujikuta kuwa hali ndio inazidi kuongezeka.

Ina madhara makubwa KIAFYA, KIAKILI, KIUZAZI na KIROHO.

Vijana wakimrudia Mungu wataacha kabisa na kusahau hali hii na watarudishiwa nguvu na akili zao nzuri zilizo active.

Kufanya punyeto ni kutekwa akili na yule Mwovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…