NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
Bongo CPM zinacheza ngapi kwa sasa mkuu?Chief ili uanze kulipwa utakuwa umehangaika sanaa as long as wewe sio maarufu na hauna content pendwa!
Pia hata ukianza kulipwa CPM zitakuangusha tu ni kipengele sana aisee