MJADALA: Je, ni sahihi waimbaji wa nyimbo za dini kushiriki matamasha ya kidunia?

IV MMEKOSA KAZI? mmekalia kuhukumu tu watu wakati nyie wenyewe majanga MWACHENI na maisha yake
 
Ndugu, hii hoja ni mfu. Kwani anayetajwa hapo ni nani? Je, ni matendo gani yanaambatana na tamasha hilo? Mbona unajitoa ufahamu kwa kutetea maovu? Kilicho kinyume na Mungu ni cha shetani, hakuna namna nyingine kuelezea. Hebu lete hoja kinzani tuone.
 
Hiyo Nongwa...Kwani kanisani wanaenda watakatifu watupu....Ushetani huko kanisani wanachangisha sadaka alafu wanaenda kufungua biashara binafsi
Wishful thinking. Hoja mfu
 
Nondo za injili, what a joke. Nambie nondo zipi hizo zilizopigwa fiesta. Ama kweli mwapotea kwa kuyakataa maarifa
 
Nondo za injili, what a joke. Nambie nondo zipi hizo zilizopigwa fiesta. Ama kweli mwapotea kwa kuyakataa maarifa
Nipo na ubaya Bwana nibadilishe

Ni maneno ya Wimbo wake,

Nambie hawa watu walio na ubaya wanao omba Bwana awabadilishe, wapo Makanisani au Fiesta?
 
Kila mmoja anatazama kwa mtizamo wake, kwangu naona si sahihi hata kidogo. Ni sawa na kumfanyia mzaha Mungu wetu aliye mtakatifu.
 
Dini yenyewe as busness so kwa nn watu tusifanya hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…