Spare za boxer zipo nyingi tu, fake na original zimesambaa kila mahali.....Bro,bora pkpk za china kwa sababu zina spea nying,lakin boxer ina nying fek na sio imara kama ile iliyokuja nayo na kingine n kwamba, boxer inataka upate fundi mzuri wa ingine hasa ikiua rings piston,huwa inasumbua sana na inataka vitu original,uchukua fek,itakusumbua,ni hayo tu....
Hapa ndo huwa napigwa na butwaa wakati yote ni Tanzaniabei rahisi kama utanunua utumie kule kule,ila ukisema ununue ulete Huku bara "bila ujanja janja" umeumia/utajuta
Hii ni bei gani mkuu!Chuma iko futa kidogo mwendo mkubwa roho ya paka na chenji inabaki[emoji1436][emoji1436][emoji1436]View attachment 1264399
Ok! Hii naona inanifaa ni vipi spear Zake ni available?shineray xl 150 (offroad) ndo jibu mkuu. mimi naishi kijijini ninayo na inamudu vizuri mazingira ya huku. bei yake ni m 2 . 3 mpya.
Ninaitumia click tangu 2012, na iko poa ingene haijaguswa.Click.. Sijajua bei gani zile bike za kibishoo nzuri sana kwa mizunguko ya mjini hata nje ya mji nikimaanisha ukitaka kufanya cruise tour..na bei yake yamoto.. Sikumbuki bei halisi..
Zipo vzr sanaa hongera kwa kufanya chaguo sahihiNinaitumia click tangu 2012, na iko poa ingene haijaguswa.
Bei zinategemea na model na cc
Ila mpya zinaanzia 6m
Used 3 mil
hahahaha daaah umeshuka point sana mkuuJamaa umemtajia mwenzio mikipiki kama vile anataka za mashindano
yani mi baja ya juu juu imekaa kukimbizana kimbizana tuu kama watu wa mereran
Mkuu we kama hutaki makuuu vuta TVS yako uchune kimyaaaa
ushasema ni matumizi binafsi inakutosha hiyo TVS vizuri tu au Boxer
Nunua piki piki ambayo ukiichoka unaweZa iuza ndani ya siku tu ishapata mteja
wewe sasa jichanganye ununue hiyo midude aliokushauri charldzosias
ukija kutaka kuiuza utakoma,utakaa nayo mpk uzeeeni we tafuta ndoa tu.
hiyo bajeti yako wala usitake makuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mapambio daaah [emoji6][emoji2772][emoji113][emoji113]Mtu amekuambia ana bajeti ya 2.5 we unaanza mapambio
Hizi za wanawake banaChuma iko futa kidogo mwendo mkubwa roho ya paka na chenji inabaki[emoji1436][emoji1436][emoji1436]View attachment 1264399
Zinapatikana wapi boss afu Honda naitamani Sana Sema Honda hadi uwe na mpunga mrefuHyo hela unapata honda xlr250 ya mtumba safi kabisa na huto jutia