Jamaa umemtajia mwenzio mikipiki kama vile anataka za mashindano
yani mi baja ya juu juu imekaa kukimbizana kimbizana tuu kama watu wa mereran
Mkuu we kama hutaki makuuu vuta TVS yako uchune kimyaaaa
ushasema ni matumizi binafsi inakutosha hiyo TVS vizuri tu au Boxer
Nunua piki piki ambayo ukiichoka unaweZa iuza ndani ya siku tu ishapata mteja
wewe sasa jichanganye ununue hiyo midude aliokushauri
charldzosias
ukija kutaka kuiuza utakoma,utakaa nayo mpk uzeeeni we tafuta ndoa tu.
hiyo bajeti yako wala usitake makuuuu