mlimilwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,268
- 3,439
Ningekua mimi ile tuzo ningeikataa au ningeificha kwa kutoipa umuhimu.yani ningeifanya kama kakitu fulani kadogo kasikokua na umuhimu. Na hata kwenye frem ya tunzo zingine nisinge iweka pamoja.Hili nalo tulitazame [emoji1]
Mtu akija kuangalia tuzo ataiona kama yupo Rwanda na sio timu ya tanzania.hivyo kiongozi makini asingekubali kuionyesha kwa sifa, wakati ule ni mtego wa kutuzalau.
Tatizo zoezi zima la bodi ya mpira hapa waliingiza simba kwenye hilo kombe kwa ushabiki lakini sio kwa uzalendo.
Ndio maana wamesahau hata kuishauri serkali angalau kuweka chochote cha kutangazia hapa cha kwenye nchi yetu.
Maana wangeteua timu kwa uzalendo pia na akili ya kuweka cha kutangaza wasingekosa na kweye tuzo kama hii wangekiweka/ kukiandika pale mbele ya tuzo kama ilivyo hiyo sasa.