Mjadala: Je, Tuzo ya Mashabiki tuliyopata Wanachama wa Simba ina maana gani?

Hili nalo tulitazame [emoji1]
Ningekua mimi ile tuzo ningeikataa au ningeificha kwa kutoipa umuhimu.yani ningeifanya kama kakitu fulani kadogo kasikokua na umuhimu. Na hata kwenye frem ya tunzo zingine nisinge iweka pamoja.
Mtu akija kuangalia tuzo ataiona kama yupo Rwanda na sio timu ya tanzania.hivyo kiongozi makini asingekubali kuionyesha kwa sifa, wakati ule ni mtego wa kutuzalau.

Tatizo zoezi zima la bodi ya mpira hapa waliingiza simba kwenye hilo kombe kwa ushabiki lakini sio kwa uzalendo.
Ndio maana wamesahau hata kuishauri serkali angalau kuweka chochote cha kutangazia hapa cha kwenye nchi yetu.

Maana wangeteua timu kwa uzalendo pia na akili ya kuweka cha kutangaza wasingekosa na kweye tuzo kama hii wangekiweka/ kukiandika pale mbele ya tuzo kama ilivyo hiyo sasa.
 
Daaah sema kagame ni mafia sana .....[emoji23][emoji23]
 
Hebu tuwasikie wenyewe wanasemaje
B… Mdakuzi
B... mbona nilishasema jamani kuhusu hili kwenye thread nyingine ya hivi. Pia, nilishajadili na wewe pia kuwa mashabiki wa Simba ndiyo mashabiki bora, lakini hukuwa tayari kukubali.

Sasa CAF wameshasema kuwa, mashabiki bora kwa Afrika nzima ni mashabiki wa Simba, hayo mengine ni kama jambo la kuwafariji mashabiki wasiokuwa bora. Sisi ni bora.

Na maana ya ubora ni kwamba mmefanya vizuri kama mashabiki katika kushikamana na timu yenu hadi kufikia huo wakati wa kutolewa hiyo tuzo.

Ova
 
Kushikamana kwa mechi 2? Acheni kulazimisha mambo b…

Hiyo ni kifuta machozi mmepewa, mlipania sana mmeonewa huruma walau na nyie.
Na hivi Hersi aliwapa taarifa ya goal 5…

Nyie mna ushabiki gani kuzidi Waarabu wa Misri, Algeria & Morocco?
Soka limejaa siasa, na Afrika ndio kumeoza.
 
Ungejadili kwanza tuzo ya supu pale jangwani ilikuwa ni ya nyama ya ng'ombe fresh ama nyama ya ng'ombe kibudu ungefanya la maana.

Supu mlikunywa asubuhi hukujadili.

Simba kabeba tuzo jioni yake unataka kujadili 😁😁

Ikiwa huna kazi enda kazibue mitaro pale jangwani maji yapite utafanya la maana kuliko kujadili tuzo zisizo kuhusu.
20231113_191700.jpg

Tuzo ya ushabiki bora inawafanya makolo muwe wakubwa afrika 😂😂
 
Kushikamana kwa mechi 2? Acheni kulazimisha mambo b…

Hiyo ni kifuta machozi mmepewa, mlipania sana mmeonewa huruma walau na nyie.
Na hivi Hersi aliwapa taarifa ya goal 5…

Nyie mna ushabiki gani kuzidi Waarabu wa Misri, Algeria & Morocco?
Soka limejaa siasa, na Afrika ndio kumeoza.
Kote huko hawakujaza viwanja vyao kama ambavyo sisi tulijaza kwa Mkapa. Usitishike na wale watu wanaojaza jukwaa moja tu. Sisi huwa tunayajaza yote ya pande zote nne.

Ova
 
Ok ngoja tuichambue kidogo supu ya jana

Supu ya jana imewatouch direct wananchi hivyo kuongeza sense of belonging Kwa Wananchi dhidi ya timu yao

Tuzo ya Simba ....itabaki Kwa viongozi tu .... that's y aliyeishika ni try again ....na si ww[emoji23][emoji23]
Ni kweli ni supu ya vibudu au wenye nia ovu wanachafua tu?
 
Kimsingi hadi Sasa mafanikio ya club zote za Tanzania Yako kwa mashabiki na sio wachezaji
Kuanzia Simba kupiga full house ya Mkapa kwa Kila mechi tena huku wakishangilia kwa ustaraabu bila kujali wamepoteza au wameshinda hadi Yanga kwenda na kuiteka Kigali
Kocha wa Marumo alisema msimu uliopita amevutiwa na mashabiki wa Yanga kwani ni wengi wamejaa uwanja ila wanashangilia kistaraabu sio kama wale wa north afrika ambao huweka hostile ndani
HII TUZO NI HESHIMA KWA MASHABIKI WA SIMBA NA MPIRA WA TANZANIA japo mi Yanga ila nimeipokea positive
Mkuu hivi mashabiki wa bongo wanajaza uwanja kuliko wale wa North Africa kweli?
 
Ulitaka wapewe wale fungulia mbwa na ticket za bure kutoka kwa wanasiasa hao ni mashabiki wanaojiweza sio wanaokaa karibu na mitaro kunywa supu.
 
Kote huko hawakujaza viwanja vyao kama ambavyo sisi tulijaza kwa Mkapa. Usitishike na wale watu wanaojaza jukwaa moja tu. Sisi huwa tunayajaza yote ya pande zote nne.

Ova
Usisahau kuwa wananchi tulikuwepo wakutosha
 
Kimsingi hadi Sasa mafanikio ya club zote za Tanzania Yako kwa mashabiki na sio wachezaji
Kuanzia Simba kupiga full house ya Mkapa kwa Kila mechi tena huku wakishangilia kwa ustaraabu bila kujali wamepoteza au wameshinda hadi Yanga kwenda na kuiteka Kigali
Kocha wa Marumo alisema msimu uliopita amevutiwa na mashabiki wa Yanga kwani ni wengi wamejaa uwanja ila wanashangilia kistaraabu sio kama wale wa north afrika ambao huweka hostile ndani
HII TUZO NI HESHIMA KWA MASHABIKI WA SIMBA NA MPIRA WA TANZANIA japo mi Yanga ila nimeipokea positive
Mna akili wachache sana huko...
Sio kina Labani og kichwa chake kimejaa utopolo...
 
Back
Top Bottom