Jf naielewa vzr .....[emoji1][emoji1]Uzuri hunaga makasiriko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji196][emoji196][emoji196]weee
Na hana mshipa wa uvumilivu yule.... 🤣 🤣 🤣 🤣Jf naielewa vzr .....[emoji1][emoji1]
Hii mbinu ndio tunayotumia Kwa jenta .....tukitaka alimwe ban.....unampanikisha kidgo ....anatukana then analiwa kichwa[emoji23][emoji23]
[emoji2772][emoji2772][emoji2772][emoji2772][emoji2772]Vibudu fc tulizeni matumbo..
Jee supu ya vibudu yenye kimeta ina faida gani kwa gongowazi?Salaam Wana jf
Kama mchambuzi mahiri hapa mjini JF toka jana nilikuwa naumiza kichwa kutokana na tuzo tuliyopata Watanzania ya Ushabiki Bora wa michuano ya Super League lakini nimefanikiwa kupata hizi tentative suggestions kama ifuatavyo:
a) Simba tulitumika kama daraja (washereheshaji)
Since hata kwenye sherehe za harusi lazima wakodi matarumbeta, kwa hiyo katika bonanza hili la CAF, Simba walishiriki kama wapiga matarumbeta tu katika harusi.
b) Mashabiki wa Simba wapo makini, well motivated kuliko wachezaji na viongozi wa pale ukoloni.
C) Tumeonewa huruma (tumepewa tuzo kama kifuta machozi)
d) A, B na C yote sawa!
NB: Kwako unadhani Tuzo ya Mashabiki Bora tuliyopata wanachama Simba inamaana gani?
View attachment 2812277
Wengi waliokunywa ile supu ya vibudu wameugua sana matumbo ya kuhara.Ungejadili kwanza tuzo ya supu pale jangwani ilikuwa ni ya nyama ya ng'ombe fresh ama nyama ya ng'ombe kibudu ungefanya la maana.
Supu mlikunywa asubuhi hukujadili.
Simba kabeba tuzo jioni yake unataka kujadili [emoji16][emoji16]
Ikiwa huna kazi enda kazibue mitaro pale jangwani maji yapite utafanya la maana kuliko kujadili tuzo zisizo kuhusu.
Sifa na utukufu apewe comrade Bashite kwa kufanikisha hilo shambulioWengi waliokunywa ile supu ya vibudu wameugua sana matumbo ya kuhara.
Hapo ulipo una hara?Wengi waliokunywa ile supu ya vibudu wameugua sana matumbo ya kuhara.