Mjadala: Je, Tuzo ya Mashabiki tuliyopata Wanachama wa Simba ina maana gani?

Mjadala: Je, Tuzo ya Mashabiki tuliyopata Wanachama wa Simba ina maana gani?

Uzuri hunaga makasiriko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji196][emoji196][emoji196]weee
Jf naielewa vzr .....[emoji1][emoji1]
Hii mbinu ndio tunayotumia Kwa jenta .....tukitaka alimwe ban.....unampanikisha kidgo ....anatukana then analiwa kichwa[emoji23][emoji23]
 
Jf naielewa vzr .....[emoji1][emoji1]
Hii mbinu ndio tunayotumia Kwa jenta .....tukitaka alimwe ban.....unampanikisha kidgo ....anatukana then analiwa kichwa[emoji23][emoji23]
Na hana mshipa wa uvumilivu yule.... 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Salaam Wana jf

Kama mchambuzi mahiri hapa mjini JF toka jana nilikuwa naumiza kichwa kutokana na tuzo tuliyopata Watanzania ya Ushabiki Bora wa michuano ya Super League lakini nimefanikiwa kupata hizi tentative suggestions kama ifuatavyo:

a) Simba tulitumika kama daraja (washereheshaji)

Since hata kwenye sherehe za harusi lazima wakodi matarumbeta, kwa hiyo katika bonanza hili la CAF, Simba walishiriki kama wapiga matarumbeta tu katika harusi.

b) Mashabiki wa Simba wapo makini, well motivated kuliko wachezaji na viongozi wa pale ukoloni.

C) Tumeonewa huruma (tumepewa tuzo kama kifuta machozi)

d) A, B na C yote sawa!

NB: Kwako unadhani Tuzo ya Mashabiki Bora tuliyopata wanachama Simba inamaana gani?

View attachment 2812277
Jee supu ya vibudu yenye kimeta ina faida gani kwa gongowazi?
 
Ungejadili kwanza tuzo ya supu pale jangwani ilikuwa ni ya nyama ya ng'ombe fresh ama nyama ya ng'ombe kibudu ungefanya la maana.

Supu mlikunywa asubuhi hukujadili.

Simba kabeba tuzo jioni yake unataka kujadili [emoji16][emoji16]

Ikiwa huna kazi enda kazibue mitaro pale jangwani maji yapite utafanya la maana kuliko kujadili tuzo zisizo kuhusu.
Wengi waliokunywa ile supu ya vibudu wameugua sana matumbo ya kuhara.
 
Kweli mlionewa huruma. Inasikitisha sana mtu yupo mjini anavaa nguo kama hizo kisa zinarangi nyekundu muda mwingine mashabiki hawako smart iwe simba au yanga ila hii ni aibu asee suruali karume hadi 3k unapata mtu anajidhalilisha kwaa kuvaa mavitu yamechanika dah kweli kwa hali hii acha wa mkoani wafaidi unaweza ukawa unaishi mjini ila alieko kijijini akawa anakuhurumia wewe.
IMG_20231114_204758.jpg
 
Back
Top Bottom