Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Atakuwa kocha mkuu soon mzeee...Anakuja kuchafua cv yake
swadakta sana .Man united... ni team ambayo imekua dhaifu kuna poor attitude.. wachezaji wengi ni average... zidane sioni kama ata weza kuirudisha man u kwenye makali haraka... united ina hitaji mtu anae jua kujenga team... kama pep na klopp... mtu atakae leta wachezaji na kuweza kuwaunganisha kwa pamoja... na kuiletea man u ushawishi
Diego simeone hela mnazo ?Zidane sio mbadala sahihi wa mou ila anatakiwa kocha anaejua kutengeneza timu.
Mfano Diego simion wa atletico angefaa zaidi.
Kwangu Mimi ningempa kazi Jadin au steve Bruce au Ryan giggsMan united... ni team ambayo imekua dhaifu kuna poor attitude.. wachezaji wengi ni average... zidane sioni kama ata weza kuirudisha man u kwenye makali haraka... united ina hitaji mtu anae jua kujenga team... kama pep na klopp... mtu atakae leta wachezaji na kuweza kuwaunganisha kwa pamoja... na kuiletea man u ushawishi
Wakuu kuna mjadala umeibuka duniani baada ya timu ya Man U kupoteza mwelekeo , bila shaka Morinho anatakiwa kutimuliwa haraka , lakini je huyu anayetajwa kumrithi anaweza kweli kuirudisha timu hii kwenye mstari ? je ni kweli Zidane anao uwezo wa kubadili mawe kuwa mikate ?
Wakuu kuna mjadala umeibuka duniani baada ya timu ya Man U kupoteza mwelekeo , bila shaka Morinho anatakiwa kutimuliwa haraka , lakini je huyu anayetajwa kumrithi anaweza kweli kuirudisha timu hii kwenye mstari ? je ni kweli Zidane anao uwezo wa kubadili mawe kuwa mikate ?
huo mfumo bora na mbinu vinatoka wapi ?Tatizo so timu Wala wachezaji tatizo ni mbinu Bora na mfumo bora
Vipi kama wakiamua kumrudisha Van Gal?Man united... ni team ambayo imekua dhaifu kuna poor attitude.. wachezaji wengi ni average... zidane sioni kama ata weza kuirudisha man u kwenye makali haraka... united ina hitaji mtu anae jua kujenga team... kama pep na klopp... mtu atakae leta wachezaji na kuweza kuwaunganisha kwa pamoja... na kuiletea man u ushawishi
Moja kwa moja Meneja ndiyo tatizo kwa mujibu wa post yako.Tatizo so timu Wala wachezaji tatizo ni mbinu Bora na mfumo bora
Man united... ni team ambayo imekua dhaifu kuna poor attitude.. wachezaji wengi ni average... zidane sioni kama ata weza kuirudisha man u kwenye makali haraka... united ina hitaji mtu anae jua kujenga team... kama pep na klopp... mtu atakae leta wachezaji na kuweza kuwaunganisha kwa pamoja... na kuiletea man u ushawishi
Hata alipokuwepo mwazoni Madrid iliharibu sana kwa sasa in mapema mno kuizungumzia Madrid.Kwahiki kinachoikumba Madrid sasa hivi ninashawishika kuwa Zizzou ni chaguo sahihi