Mjadala : Je Zidane anatosha kwenye benchi la ufundi la Manchester United ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wakuu kuna mjadala umeibuka duniani baada ya timu ya Man U kupoteza mwelekeo , bila shaka Morinho anatakiwa kutimuliwa haraka , lakini je huyu anayetajwa kumrithi anaweza kweli kuirudisha timu hii kwenye mstari ? je ni kweli Zidane anao uwezo wa kubadili mawe kuwa mikate ?
 
Man united... ni team ambayo imekua dhaifu kuna poor attitude.. wachezaji wengi ni average... zidane sioni kama ata weza kuirudisha man u kwenye makali haraka... united ina hitaji mtu anae jua kujenga team... kama pep na klopp... mtu atakae leta wachezaji na kuweza kuwaunganisha kwa pamoja... na kuiletea man u ushawishi
 
swadakta sana .
 
zidane ataiweka united top 4 na sio zaidi ya hapo lbl aje na wachezaji wapya.
 
Kwahiki kinachoikumba Madrid sasa hivi ninashawishika kuwa Zizzou ni chaguo sahihi
 
Man united... ni team ambayo imekua dhaifu kuna poor attitude.. wachezaji wengi ni average... zidane sioni kama ata weza kuirudisha man u kwenye makali haraka... united ina hitaji mtu anae jua kujenga team... kama pep na klopp... mtu atakae leta wachezaji na kuweza kuwaunganisha kwa pamoja... na kuiletea man u ushawishi
Kwangu Mimi ningempa kazi Jadin au steve Bruce au Ryan giggs
 
Wakuu kuna mjadala umeibuka duniani baada ya timu ya Man U kupoteza mwelekeo , bila shaka Morinho anatakiwa kutimuliwa haraka , lakini je huyu anayetajwa kumrithi anaweza kweli kuirudisha timu hii kwenye mstari ? je ni kweli Zidane anao uwezo wa kubadili mawe kuwa mikate ?

Tatizo so timu Wala wachezaji tatizo ni mbinu Bora na mfumo bora
 
Vipi kama wakiamua kumrudisha Van Gal?
 
Man united... ni team ambayo imekua dhaifu kuna poor attitude.. wachezaji wengi ni average... zidane sioni kama ata weza kuirudisha man u kwenye makali haraka... united ina hitaji mtu anae jua kujenga team... kama pep na klopp... mtu atakae leta wachezaji na kuweza kuwaunganisha kwa pamoja... na kuiletea man u ushawishi

Sasa pendekeza nan anafaa? Kwa upande wangu pochetino anafaa kabisa.
 
Back
Top Bottom