Mjadala: Jinsi yakupambana na kero za kelele za makanisa ya kilokole mitaani kwetu

Alejandroz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
329
Reaction score
413
Hellow wanafamilia wa JF,

Kumekuwa na haya makanisa ya kilokole yanayoota kama uyoga katikati ya makazi yetu, na likiwepo basi ni kelele mtindo mmoja.

Ninapoishi mimi kuna kikanisa kidogo cha aina hii karibu (umbali wa mita 30 tu) ikifika jioni nimerudi kazini siwezi hata kupumzisha kichwa ndani kwangu maana si kwa kelele hizi za maombi na miziki.

Je umewahi kupitia hali kama yangu?

Karibu tupeane uzoefu wa jinsi yakukabiliana na hali kama hii, maana imefikia hatua nachukia makazi yangu.

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Makelele ni uchafu kama uchafu mwingine na kuna kiwango maalum kinachoruhusiwa na NEMC. Iwapo mtaani kwako kuna Kelele unatakiwa ureport ofisi yabNEMC iliyopo karibu yako. Kelele za Makanisa zikizidi kiwango fulani ni kosa na kuna adhabu

Attachments

Asante sana mkuu [emoji1431]

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Naona NEMC wamesikia Kilio Chako- Mei Mosi wanaingia Mzigoni😀
 
Attachments

  • IMG_6653.MOV
    2.4 MB
Thanks for the link bro

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Hivi wana makanisa masaki?,sijawahi yaona kabisa haha au kule wanasali kimya kimya
 
Mtaani kwetu sidhani kama kutakua na pepo wachafu, tumezungukwa na makanisa mawili, full kukemea pepo kuanzia saa 11 asubuhi... Utake usitake maomba yatakufikia huko huko ulipo, hata kama ni usingizini.

SAUTI ZAO ni Balaaa...!!!!!
 
Na wale wanao anza saa 10 usiku mpaka 11 hii sheria haiwahusu?
 
mbwembwe wakipewa hela hawafanyi lolote
 
mbwembwe wakipewa hela hawafanyi lolote
Sio lazima ukoment! Nna jua sehem zaidi ya 3 ambazo NEMC wamedeal nazo kutokana na Kupiga mziki kwa sauti kubwa! Hela ya kuwapa mpaka wakashindwa tekeleza wajibu wao wewe unazo?? Inaonekana ata mlo mmoja kupata ni shida
 
wanawake mungu awasaidie Jana kuna mama kawaishwa hospitali kisa kafunga siku tatu na anauwmwa vidonda vya tumbo kisa waliambiwa na mchungaji wao
 
Mtaani kwetu sidhani kama kutakua na pepo wachafu, tumezungukwa na makanisa mawili, full kukemea pepo kuanzia saa 11 asubuhi... Utake usitake maomba yatakufikia huko huko ulipo, hata kama ni usingizini.

SAUTI ZAO ni Balaaa...!!!!!
Mmechukua hatua gani hadi sasa mkuu,, au ndo mnavuliana tu [emoji848]

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Sio lazima ukoment! Nna jua sehem zaidi ya 3 ambazo NEMC wamedeal nazo kutokana na Kupiga mziki kwa sauti kubwa! Hela ya kuwapa mpaka wakashindwa tekeleza wajibu wao wewe unazo?? Inaonekana ata mlo mmoja kupata ni shida
Ukijua wewe inatosha, nimeshacomment na hauna lolote la kufanya.
Wangekuwa wanafanya kazi tusingekuwa tunaskia makelele ya makanisa na live band usiku
 
Hutaki kelele uswazi? 😄😁
 
nyie ndo mashetani wakubwa nyie

mbona adhana za dini yenu ya myaazi zinapigwa mpka saa 11 alfajiri na tupo kimya

ACHA UPUMBAVU WEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…