shirima Mathias
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 451
- 1,333
Kuna kikanisa kimoja UCHWARA jirani yangu kilitaka kutuchezea hivyo hivyo.
Nikawafuata na kuwaambia kama mna vimaombi vyenu UCHWARA anzeni asubuhi hadi saa tano USIKU iwe mwisho.
Matokeo yake wakawa wanaanza saa TANO usiku hadi saa tisa au kumi alfajiri
Nilichofanya ni kwenda Karia koo na kununua yale maspika kama ya msikitini (Nimesahau jina lake).
Nikayafunga kuelekezea liliko kanisa.
Wakianza saa TANO yao na mimi nafungulia mziki wangu - Wakanitafuta na kuniahidi kunipooza.
Wakaja kunifungia gypsum ndani na kuniwekea vioo ili makelele yao nisiyasikie na kila jumamosi naenda kuchukua SADAKA na kuzinywea Bia [emoji481].
Hivyo