shirima Mathias
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 451
- 1,333
Nenda kashitaki kwa mtendaji...wanamiongozo na taratibu wamepewa hawaruhusiw kupiga makelele na siku ya ibada ni jumapili...nimepitia hio kadhia nikaenda kushtaki..mpaka leo kimya wanapiga kelele jumapili tuHellow wanafamilia wa JF,
Kumekuwa na haya makanisa ya kilokole yanayoota kama uyoga katikati ya makazi yetu, na likiwepo basi ni kelele mtindo mmoja.
Ninapoishi mimi kuna kikanisa kidogo cha aina hii karibu (umbali wa mita 30 tu) ikifika jioni nimerudi kazini siwezi hata kupumzisha kichwa ndani kwangu maana si kwa kelele hizi za maombi na miziki.
Je umewahi kupitia hali kama yangu?
Karibu tupeane uzoefu wa jinsi yakukabiliana na hali kama hii, maana imefikia hatua nachukia makazi yangu.
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Utakuta waumini hawazidi kumi lakini mziki unaopigwa huko ndani ni balaaa
muisraelnyie ndo mashetani wakubwa nyie
mbona adhana za dini yenu ya myaazi zinapigwa mpka saa 11 alfajiri na tupo kimya
ACHA UPUMBAVU WEWE
Weka ushauri wako mkuuKumbe unakataa nyimbo za kumsifu bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio lazima u-comment kila uzi mkuunyie ndo mashetani wakubwa nyie
mbona adhana za dini yenu ya myaazi zinapigwa mpka saa 11 alfajiri na tupo kimya
ACHA UPUMBAVU WEWE
Yaani ni kero tupu mkuuUtakuta waumini hawazidi kumi lakini mziki unaopigwa huko ndani ni balaaa
Asante kwa ushauri ndugu,, nitajitahidi niende huko [emoji1431][emoji1431]Nenda kashitaki kwa mtendaji...wanamiongozo na taratibu wamepewa hawaruhusiw kupiga makelele na siku ya ibada ni jumapili...nimepitia hio kadhia nikaenda kushtaki..mpaka leo kimya wanapiga kelele jumapili tu
Kutofuata mipango miji ndo tatizo kubwa Tanzania, kwa sasa kila nyumba ina frame mbeleHaya makanisa Boss ni ya sisi Maskini! Mchungaji anasema Nanyua simu yako juu Mpesa ikuingizie pesa [emoji23]Masaki akuna mjinga wa kumwambia anunue maji au mafuta ya upako eti awe tajiri.
Huyo hakika ningeacha afewanawake mungu awasaidie Jana kuna mama kawaishwa hospitali kisa kafunga siku tatu na anauwmwa vidonda vya tumbo kisa waliambiwa na mchungaji wao
Hellow wanafamilia wa JF,