Mjadala - Kitabu cha unyama wa Paul Kagame: Behind the Presidential Curtain: Inside Out of real Paul Kagame

Kwa kutia nyama kidogo Lora Nkunda yule alikuwa kiongozi wa M23 ni ndugu toka ntoke na Kagame.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu meja jenerali Salim Saleh ni ndugu yake Museven kabisaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu meja jenerali Salim Saleh ni ndugu yake Museven kabisaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
yes,hata 1998 wakati Seth sendshonga alivyouliwa jijini Nairobi alikuwa amekutana na Salim salehe kuna vitu alimuambia..kagame akaksirika sana akaamuru auliwe na hadi leo hilo jambo huwa halifichi anajisifu kabisa anasema seth alikuwa ni jeuri alistahili kufa
 
Na nasikia ndiyo rafiki mkubwa wa Mheshimiwa sana, kumbe ndo mbinu yake.
 
Acheni propaganda mna uhakika kilichoandikwa humo ni ukweli???
Hamna tofauti na wapiga kahawa wa kijiweni jamaa kama ana uhakika kagame kaua watu wote hao si ampeleke mahakamani??


Sent from my iPhone using JamiiForums
No.3
 
Nipo chapter 3 Mkuu, so far unaweza kulia.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Nilikisoma mwaka jana ni kizuri lakini mwandishi yuko so bitter na Kagame, hajaweza kubalance kitabu chake......kitu kilichonishtua kwenye kitabu ni plan za Kagame kumuua Kikwete......Na baadae plan za kumuu Nkurunzinza kwenye kuapishwa kwa Magufuli 2015 i was so shocked
 
Asante sana mtoa mada..lakini nauliza huyu bodyguard Noble Marara asa hivi yuko wapi.?
 
Kwa asili yao ilivyo inawezekana kuwepo na ukweli wa hizi shutuma japo mimi na wewe hatuna ushahidi wa kutupa haki ya kumshutumu moja kwa moja PK
Wewe najua upo Karibu na Rwanda. Je Yaliyoelezewa kwenye hicho kitabu yana ukweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…