Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,167
- 1,872
😃😃 kanchi kadogo kama kata ya msovera kanaitikisa hadi JTZ.... Hapana sitaki kuamini bana...Haka ni kama Israeli kanapiga mataifa yoote na hakuna anayekaweza
Kweli Kagame Africa nzima imemshindwa... daaaah atutawale tu sasa hakuna namna