abdul_eliesikia
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 787
- 775
...Tulia wewe pilipili usioila inakuwashia nini??? unawalipia nauli wanaoenda loliondo?? au kwa kuwa wewe hujapatwa na maradhi basi mdomo juu kuponda?? Wewe unaejiona mjanja una hekima na busara kaa kwako kula ugali wako.....waache watu na imani zao waendelee. Punguza ukasuku!!!!:ballchain::ballchain:namuunga mkono Jenerari,huo upuuzi wa mganga wa loliondo ni sawa na DECI,watu tuliwaambia hapo nyuma DECI ni utapeli watu hawakusikia,inashangaza sana tena sana katika hizi zama za maendeleo watu wazima na akili zao wanadanganyika eti na miujiza ya dawa ya Loliondo,na kwa ujinga huo hata serikali nayo imeingia mkenge wa kumruhusu huyo mzee tapeli eti aendeleze tiba,jamani si hapo nyuma serikali ilipiga marufuku hayo mambo ya waganga wa kienyeji.Jamani msiwe wajinga hakuna dawa inyotibu ukimwi au kisukari hivi sasa ,dawa ni kufuata masharti.
WAKATI Watanzania wengi wakimiminika kwenda wilayani Loliondo, mkoani Arusha kupata dawa inayodaiwa kutibu magonjwa sugu, Mbunge wa Igunga (CCM), Rostam Aziz ameibuka na kusema tiba hiyo haina lolote akidai kwamba ndugu zake watano wameitumia lakini hawajapona.
Akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa kuwashukuru wapigakura uliofanyika kwenye Viwanja vya CCM wilayani Igunga, Tabora mbunge huyo alisema haiamini dawa hiyo kwa kuwa ana ushahidi kwa ndugu zake hao ambao anadai kwamba wanaendelea kuugua kisukari licha ya kutumia dawa hiyo siku saba zilizopita.
Aliwataka wale watakaokwenda Loliondo ambao wanatumia dawa za hospitalini kuendelea kuzitumia badala ya kuzipuuza na kuzitupa... "Ndugu zangu wananchi wa Igunga, mimi mjomba wangu Hassan mnamfahamu karibu wote hapa mjini ni mgonjwa wa siku nyingi wa kisukari. Ameshakunywa dawa hiyo lakini mpaka sasa ni mgonjwa kama mnavyomuona sasa hiyo dawa inaponyesha nani?"
Hata hivyo, aliwataka wananchi wote wenye imani juu ya dawa hiyo waende huku akiwasisitizia kutopuuza ushauri wa madaktari kwani.
Wakati Rostam akipinga dawa hiyo, wilayani Kahama, mamia ya wafanyabiashara wamefunga shughuli zao na kukimbilia Loliondo kwa Mchungaji Mwasapile kunywa dawa hiyo huku baadhi ya waliorejea baada ya kuinywa wakidai kuwa hali zao sasa ni nzuri.
Wafanyabiashara hao wengi wao wanaondoka kwa siri wakidai wanakwenda Dar es Salaam katika shughuli zao, lakini siri imefichuka baada ya baadhi yao kuoneka katika runinga wakiwa katika foleni wakisubiri kupatiwa huduma hiyo.
Mbali ya kuzungumzia suala hilo la tiba ambalo limegusa hisia za wananchi wengi wa Afrika Mashariki, mbunge huyo aliwapa pole wananchi wa Igunga ambao nyumba zao zimeezuliwa na upepo uliosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha wiki iliyopita ambazo ziliathiri kaya 19. Aitoa msaada wa Sh500,000 kwa kila kaya iliyokumbwa na maafa hayo.
source: mwananchi
MY TAKE:
Kusema kweli nasikia ukinywa halafu ww ni fisadi huwezi pona kabisa... Nasikia alienda akambiwa mpaka atubu itamsaidia.. Mwenzio Lowassa kanywa lakini hata kujitangaza kanywa anaogopa...maaana hawezi pona mpaka atubu na kumkataa shetani na kazi zake zote kama ufisadi, wizi, utapeli na siasa uchwara
WAKATI Watanzania wengi wakimiminika kwenda wilayani Loliondo, mkoani Arusha kupata dawa inayodaiwa kutibu magonjwa sugu, Mbunge wa Igunga (CCM), Rostam Aziz ameibuka na kusema tiba hiyo haina lolote akidai kwamba ndugu zake watano wameitumia lakini hawajapona.
Akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa kuwashukuru wapigakura uliofanyika kwenye Viwanja vya CCM wilayani Igunga, Tabora mbunge huyo alisema haiamini dawa hiyo kwa kuwa ana ushahidi kwa ndugu zake hao ambao anadai kwamba wanaendelea kuugua kisukari licha ya kutumia dawa hiyo siku saba zilizopita.
Aliwataka wale watakaokwenda Loliondo ambao wanatumia dawa za hospitalini kuendelea kuzitumia badala ya kuzipuuza na kuzitupa... Ndugu zangu wananchi wa Igunga, mimi mjomba wangu Hassan mnamfahamu karibu wote hapa mjini ni mgonjwa wa siku nyingi wa kisukari. Ameshakunywa dawa hiyo lakini mpaka sasa ni mgonjwa kama mnavyomuona sasa hiyo dawa inaponyesha nani?
Hata hivyo, aliwataka wananchi wote wenye imani juu ya dawa hiyo waende huku akiwasisitizia kutopuuza ushauri wa madaktari kwani.
Wakati Rostam akipinga dawa hiyo, wilayani Kahama, mamia ya wafanyabiashara wamefunga shughuli zao na kukimbilia Loliondo kwa Mchungaji Mwasapile kunywa dawa hiyo huku baadhi ya waliorejea baada ya kuinywa wakidai kuwa hali zao sasa ni nzuri.
Wafanyabiashara hao wengi wao wanaondoka kwa siri wakidai wanakwenda Dar es Salaam katika shughuli zao, lakini siri imefichuka baada ya baadhi yao kuoneka katika runinga wakiwa katika foleni wakisubiri kupatiwa huduma hiyo.
Mbali ya kuzungumzia suala hilo la tiba ambalo limegusa hisia za wananchi wengi wa Afrika Mashariki, mbunge huyo aliwapa pole wananchi wa Igunga ambao nyumba zao zimeezuliwa na upepo uliosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha wiki iliyopita ambazo ziliathiri kaya 19. Aitoa msaada wa Sh500,000 kwa kila kaya iliyokumbwa na maafa hayo.
source: mwananchi
MY TAKE:
Kusema kweli nasikia ukinywa halafu ww ni fisadi huwezi pona kabisa... Nasikia alienda akambiwa mpaka atubu itamsaidia.. Mwenzio Lowassa kanywa lakini hata kujitangaza kanywa anaogopa...maaana hawezi pona mpaka atubu na kumkataa shetani na kazi zake zote kama ufisadi, wizi, utapeli na siasa uchwara
Thats not true! He has tens if not hundreds of cups from which a single patient drinks. He uses one cup to serve to other cups.
Haya tena Wadau, naona kumekucha kuhusu Babu. Msomeni huyu Jenerali Ulimwengu kuhusu huyo Babu anaonekana ana wasiwasi naye sana lakini atoa sababu zake!
Also, for the medicine to work, it has to be administered physically by the prophet himself, using the same cup from which every patient drinks.
Source: The East African
hii ni pumba ingine ya magid,
hii c hoja ni pumba full stop,,Hoja hujibiwa kwa hoja mkuu.
Hivi pesa anayotoza Babu , Sh 500 ni vigezo gani alitumia kuchagua kiasi hicho, isije ikawa ana affiliation na Freemason maana namba tano ni miongoni mwa namba zao wanazotumia, Open uo your eyes, Tafakari.
huyo ni mkirsto, tena KKT haamini kagera. amekimbili kwa babu. lkn thari yake sasa hiyo. anavimba tumbo. amezidisha marazi