Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 684
kikombe cha babu na utendaji kz wa jkkuna mahucano gan? alwayz jk huwa anaongea bila kutake measure wala kutolea ufmbuz je alipokerwa na matokeo kaamua nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha! Kiboko!Sawa Rost, ni kweli haitibu ugonjwa wako wa DOWANS!!!:nono::nono::A S-cry:
Upeo finyu wa kufikiri ukijumlisha na malaana machache toka mababu na wazazi ndio tunatoa pumba kama hiziMie nashangaa kidogo nnaposikia wapo wenye dhambi, mimi nasikia kuwa Yesu alishabeba dhambi zote kwa ajili yetu, sasa vipi tena wawepo wenye dhambi?
Tunashuhudia mabadiliko ya gafla ya MJK kama mtu alieamka usingizini, akianza kurudia ile hali yake ya mwanzo alipoingia madarakani, mwenye nguvu, hoja nzito nzito na kauli zenye matumaini kama kiongozi, mwenye maono na hata kutoa amri tunazozitarajia kwa kiongozi na kuanza hata kujichanganya kwenye sekta nyeti na kuapear kwenye luninga akiwa na mambo mazito tu na mwenye kujiamini. Je Mheshimiwa huyu ambae tayari watu walikuwa wameanza kukata tamaa ndo kazinduka baada ya dozi ya kikombe cha babu? Ni vigumu kuamini ninayoona yuanatokea kaanza gafla kwa spidi ya ajabu... inanishawishi kuwaza kuwa kuna jambo la kiafya ya kipsycholojia, kimwili au hata kiroho iliyokuwa inamsumbua na yawezekana amepata matibabu muafaka. Mimi kama kada wa chama chake wa muda mrefu, huyu ndie mtu niliyuekuwa na mjua hapo mwanzo na kubadilika kwake kipindi hiki kilichopita kilinitia mashaka maana waliokuwa chini yake walianza kufanya mautumbo na hakuna aliyekuwa anawaambia kitu, na kushindwa kupata jibu chama hiki kinaelekea wapi... ingawa tunahitaji muda kujua kwa uhakika chama hiki kilichopoteza umaarufu kwa kiasi kikubwa kina mkakati gani kurudisha imani hasa kwa wasomi na watu waishio mijini....
Mfano ngalia: HabariLeo | Wanafunzi wanaofeli wamkera Kikwete
na Home?
pia Rais Kikwete Atembelea Mamlaka Zilizochini ya Wizara ya Fedha
Nasubiri kwa hamu nione kama hotuba yake ya mwisho wa mwezi itafananaje kama kuna improvements zozote hasa kama itaweza kuwa na solid directives za maana na positions za serikali kwenye maswala nyeti badala ya bables
Kundi moja la wabongo waishio nje, hususan Uingereza na Marekani limewasili KIA tayari kabisa kwenda kupata kikombe Loliondo. Duh!
Kundi moja la wabongo waishio nje, hususan Uingereza na Marekani limewasili KIA tayari kabisa kwenda kupata kikombe Loliondo. Duh!
Kundi moja la wabongo waishio nje, hususan Uingereza na Marekani limewasili KIA tayari kabisa kwenda kupata kikombe Loliondo. Duh!