Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

WAKATI Watanzania wengi wakimiminika kwenda wilayani Loliondo, mkoani Arusha kupata dawa inayodaiwa kutibu magonjwa sugu, Mbunge wa Igunga (CCM), Rostam Aziz ameibuka na kusema tiba hiyo haina lolote akidai kwamba ndugu zake watano wameitumia lakini hawajapona.

Akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa kuwashukuru wapigakura uliofanyika kwenye Viwanja vya CCM wilayani Igunga, Tabora mbunge huyo alisema haiamini dawa hiyo kwa kuwa ana ushahidi kwa ndugu zake hao ambao anadai kwamba wanaendelea kuugua kisukari licha ya kutumia dawa hiyo siku saba zilizopita.

Aliwataka wale watakaokwenda Loliondo ambao wanatumia dawa za hospitalini kuendelea kuzitumia badala ya kuzipuuza na kuzitupa... "Ndugu zangu wananchi wa Igunga, mimi mjomba wangu Hassan mnamfahamu karibu wote hapa mjini ni mgonjwa wa siku nyingi wa kisukari. Ameshakunywa dawa hiyo lakini mpaka sasa ni mgonjwa kama mnavyomuona sasa hiyo dawa inaponyesha nani?"

Hata hivyo, aliwataka wananchi wote wenye imani juu ya dawa hiyo waende huku akiwasisitizia kutopuuza ushauri wa madaktari kwani.

Wakati Rostam akipinga dawa hiyo, wilayani Kahama, mamia ya wafanyabiashara wamefunga shughuli zao na kukimbilia Loliondo kwa Mchungaji Mwasapile kunywa dawa hiyo huku baadhi ya waliorejea baada ya kuinywa wakidai kuwa hali zao sasa ni nzuri.

Wafanyabiashara hao wengi wao wanaondoka kwa siri wakidai wanakwenda Dar es Salaam katika shughuli zao, lakini siri imefichuka baada ya baadhi yao kuoneka katika runinga wakiwa katika foleni wakisubiri kupatiwa huduma hiyo.

Mbali ya kuzungumzia suala hilo la tiba ambalo limegusa hisia za wananchi wengi wa Afrika Mashariki, mbunge huyo aliwapa pole wananchi wa Igunga ambao nyumba zao zimeezuliwa na upepo uliosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha wiki iliyopita ambazo ziliathiri kaya 19. Aitoa msaada wa Sh500,000 kwa kila kaya iliyokumbwa na maafa hayo.

source: mwananchi

MY TAKE:
Kusema kweli nasikia ukinywa halafu ww ni fisadi huwezi pona kabisa... Nasikia alienda akambiwa mpaka atubu itamsaidia.. Mwenzio Lowassa kanywa lakini hata kujitangaza kanywa anaogopa...maaana hawezi pona mpaka atubu na kumkataa shetani na kazi zake zote kama ufisadi, wizi, utapeli na siasa uchwara
 
namuunga mkono Jenerari,huo upuuzi wa mganga wa loliondo ni sawa na DECI,watu tuliwaambia hapo nyuma DECI ni utapeli watu hawakusikia,inashangaza sana tena sana katika hizi zama za maendeleo watu wazima na akili zao wanadanganyika eti na miujiza ya dawa ya Loliondo,na kwa ujinga huo hata serikali nayo imeingia mkenge wa kumruhusu huyo mzee tapeli eti aendeleze tiba,jamani si hapo nyuma serikali ilipiga marufuku hayo mambo ya waganga wa kienyeji.Jamani msiwe wajinga hakuna dawa inyotibu ukimwi au kisukari hivi sasa ,dawa ni kufuata masharti.
...Tulia wewe pilipili usioila inakuwashia nini??? unawalipia nauli wanaoenda loliondo?? au kwa kuwa wewe hujapatwa na maradhi basi mdomo juu kuponda?? Wewe unaejiona mjanja una hekima na busara kaa kwako kula ugali wako.....waache watu na imani zao waendelee. Punguza ukasuku!!!!:ballchain::ballchain:
 
Yeye kila kitu ni siasa hata issue sensitive kama hii.
Anamatatizo akanywe dawa kwa babu atasema yote ya DOWANS huko!
 
Babu anasema kama mtu ana mambo yake maovu yasiyompendeza Mungu hata akinywa dawa haitamsaidia, hadi aachane nayo kabisa, tumesikia wachawi wanapagawa baada ya kunywa dawa, sasa na yeye anatufanya tuwe na maswali, kulikoni huko kwenye ukoo wake?
 
WAKATI Watanzania wengi wakimiminika kwenda wilayani Loliondo, mkoani Arusha kupata dawa inayodaiwa kutibu magonjwa sugu, Mbunge wa Igunga (CCM), Rostam Aziz ameibuka na kusema tiba hiyo haina lolote akidai kwamba ndugu zake watano wameitumia lakini hawajapona.

Akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa kuwashukuru wapigakura uliofanyika kwenye Viwanja vya CCM wilayani Igunga, Tabora mbunge huyo alisema haiamini dawa hiyo kwa kuwa ana ushahidi kwa ndugu zake hao ambao anadai kwamba wanaendelea kuugua kisukari licha ya kutumia dawa hiyo siku saba zilizopita.

Aliwataka wale watakaokwenda Loliondo ambao wanatumia dawa za hospitalini kuendelea kuzitumia badala ya kuzipuuza na kuzitupa... "Ndugu zangu wananchi wa Igunga, mimi mjomba wangu Hassan mnamfahamu karibu wote hapa mjini ni mgonjwa wa siku nyingi wa kisukari. Ameshakunywa dawa hiyo lakini mpaka sasa ni mgonjwa kama mnavyomuona sasa hiyo dawa inaponyesha nani?"

Hata hivyo, aliwataka wananchi wote wenye imani juu ya dawa hiyo waende huku akiwasisitizia kutopuuza ushauri wa madaktari kwani.

Wakati Rostam akipinga dawa hiyo, wilayani Kahama, mamia ya wafanyabiashara wamefunga shughuli zao na kukimbilia Loliondo kwa Mchungaji Mwasapile kunywa dawa hiyo huku baadhi ya waliorejea baada ya kuinywa wakidai kuwa hali zao sasa ni nzuri.

Wafanyabiashara hao wengi wao wanaondoka kwa siri wakidai wanakwenda Dar es Salaam katika shughuli zao, lakini siri imefichuka baada ya baadhi yao kuoneka katika runinga wakiwa katika foleni wakisubiri kupatiwa huduma hiyo.

Mbali ya kuzungumzia suala hilo la tiba ambalo limegusa hisia za wananchi wengi wa Afrika Mashariki, mbunge huyo aliwapa pole wananchi wa Igunga ambao nyumba zao zimeezuliwa na upepo uliosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha wiki iliyopita ambazo ziliathiri kaya 19. Aitoa msaada wa Sh500,000 kwa kila kaya iliyokumbwa na maafa hayo.

source: mwananchi

MY TAKE:
Kusema kweli nasikia ukinywa halafu ww ni fisadi huwezi pona kabisa... Nasikia alienda akambiwa mpaka atubu itamsaidia.. Mwenzio Lowassa kanywa lakini hata kujitangaza kanywa anaogopa...maaana hawezi pona mpaka atubu na kumkataa shetani na kazi zake zote kama ufisadi, wizi, utapeli na siasa uchwara

Hii ni peanut kwa mapesa aliyo dhurumu wa Tanzania laki tano tano zitawasaidia nini inabidi awajengee kila mmoja angalau
 
WAKATI Watanzania wengi wakimiminika kwenda wilayani Loliondo, mkoani Arusha kupata dawa inayodaiwa kutibu magonjwa sugu, Mbunge wa Igunga (CCM), Rostam Aziz ameibuka na kusema tiba hiyo haina lolote akidai kwamba ndugu zake watano wameitumia lakini hawajapona.

Akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa kuwashukuru wapigakura uliofanyika kwenye Viwanja vya CCM wilayani Igunga, Tabora mbunge huyo alisema haiamini dawa hiyo kwa kuwa ana ushahidi kwa ndugu zake hao ambao anadai kwamba wanaendelea kuugua kisukari licha ya kutumia dawa hiyo siku saba zilizopita.

Aliwataka wale watakaokwenda Loliondo ambao wanatumia dawa za hospitalini kuendelea kuzitumia badala ya kuzipuuza na kuzitupa... “Ndugu zangu wananchi wa Igunga, mimi mjomba wangu Hassan mnamfahamu karibu wote hapa mjini ni mgonjwa wa siku nyingi wa kisukari. Ameshakunywa dawa hiyo lakini mpaka sasa ni mgonjwa kama mnavyomuona sasa hiyo dawa inaponyesha nani?”

Hata hivyo, aliwataka wananchi wote wenye imani juu ya dawa hiyo waende huku akiwasisitizia kutopuuza ushauri wa madaktari kwani.

Wakati Rostam akipinga dawa hiyo, wilayani Kahama, mamia ya wafanyabiashara wamefunga shughuli zao na kukimbilia Loliondo kwa Mchungaji Mwasapile kunywa dawa hiyo huku baadhi ya waliorejea baada ya kuinywa wakidai kuwa hali zao sasa ni nzuri.

Wafanyabiashara hao wengi wao wanaondoka kwa siri wakidai wanakwenda Dar es Salaam katika shughuli zao, lakini siri imefichuka baada ya baadhi yao kuoneka katika runinga wakiwa katika foleni wakisubiri kupatiwa huduma hiyo.

Mbali ya kuzungumzia suala hilo la tiba ambalo limegusa hisia za wananchi wengi wa Afrika Mashariki, mbunge huyo aliwapa pole wananchi wa Igunga ambao nyumba zao zimeezuliwa na upepo uliosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha wiki iliyopita ambazo ziliathiri kaya 19. Aitoa msaada wa Sh500,000 kwa kila kaya iliyokumbwa na maafa hayo.

source: mwananchi

MY TAKE:
Kusema kweli nasikia ukinywa halafu ww ni fisadi huwezi pona kabisa... Nasikia alienda akambiwa mpaka atubu itamsaidia.. Mwenzio Lowassa kanywa lakini hata kujitangaza kanywa anaogopa...maaana hawezi pona mpaka atubu na kumkataa shetani na kazi zake zote kama ufisadi, wizi, utapeli na siasa uchwara

Kikombe cha babu hakiponeshi mafisadi. Wapone ili waendelee kufisadi!
 
Mh!huyu jamaa ni mtata sana!hapo anataka kucreate doubt kwa wanaamini!
 
Once Agian God proves that no one is right 100% Jenerali being one of them.
Dawa ipo na inaponya,
Waliokuwa na Vidonda vya tumbo wanakula pilipili na maharage kwa kwenda mbele, tumewaona kwa macho mchana kweupee.
Waliokuwa na kisukari wamepona mashart hakuna tena,
Ngoma wa2 wanasubiri kwenda kupima, after 7,14 and 21 days.
Angekuwa na Ugonjwa Sugu angeenda Uyo.
Kwa kuwa mmbo yake poa.
Walioenda Mpaka sasa,
JK,
Mwinyi,
Kabila wa DRC,
Askof Laizer_Arusha,
Lyatonga,
Ndesamburo,
Mahita,
Hosea_pcb.
Raia Kibao.
Na wengine wanaenda kwa kujifichaficha kama Nicodemus wa Enzi za Yesu Kristo.
 
Haya tena Wadau, naona kumekucha kuhusu Babu. Msomeni huyu Jenerali Ulimwengu kuhusu huyo Babu – anaonekana ana wasiwasi naye sana – lakini atoa sababu zake!

Also, for the medicine to work, it has to be administered physically by the prophet himself, using the same cup from which every patient drinks.

Source: The East African
Thats not true! He has tens if not hundreds of cups from which a single patient drinks. He uses one cup to serve to other cups.
 
Rostam kumbuka babu hafanyi biashara ndio maana hajamuita mtu kwenda kutibiwa kama unaona dawa yake feki nenda hospital au na huko hospital una maslahi maana kila sehemu upo wewe utadhani hii nchi ni zawadi yako uliyopewa na mungu....
 
Hivi pesa anayotoza Babu , Sh 500 ni vigezo gani alitumia kuchagua kiasi hicho, isije ikawa ana affiliation na Freemason maana namba tano ni miongoni mwa namba zao wanazotumia, Open uo your eyes, Tafakari.
 
Aliagizwa na Mungu atoze hizo
 
Inawezekana ni kweli au ni uongo......Huyu Babu inahitaji kuwa na nguvu ya kimungu ili kugundua kuwa ni kweli au la....................
 
Natamani babu aongezewe maono haya kwenye tiba yake kama masharti ya kupona!
1. Mafisadi wote wanaokunywa warudishe kwanza na wasirudie tena maana wakirudia itakuwa mara kumi.
2. Maofisa wa mapolisi, wawe wastaafu au kazini waliosababisha watu wabambikiwe kesi na kufungwa kwa hila, wafanye hivyo hivyo warudi uraiani.
3. Wanasiasa waongo, walioukwaa ubunge kwa hila na kupoka haki ya watu warudishe mara moja kwa wahusika maana dawa itawaondoa mara moja duniani.
4. Wale wanaotegemea utabiri na ulinzi wa giza wasiende kabisa kutest kule maana kama wakitest tu, wataharisha mpaka mfumo wa maisha, vinginevyo hakuna kifo, ni kuhara tuu.
 
hiyo haiwezekani, we hujui kuwa Mungu huwanyeshea mvua walio wema na wabaya?
 
huyo ni mkirsto, tena KKT haamini kagera. amekimbili kwa babu. lkn thari yake sasa hiyo. anavimba tumbo. amezidisha marazi

Imani matters the most kama unaenda kujaribu hayo ndio madhara yake.... no matter umetoka upande upi wa kumuabudu Mungu wako!!!
 
Hivi pesa anayotoza Babu , Sh 500 ni vigezo gani alitumia kuchagua kiasi hicho, isije ikawa ana affiliation na Freemason maana namba tano ni miongoni mwa namba zao wanazotumia, Open uo your eyes, Tafakari.

Acha uzushi wewe,hakuna kitu kama hicho,....mnapenda kulazimisha mambo kwa kukokotoa maherufi na kupata mara 5,3,11,6,7 ,..halafu mnajustify eti ni namba za freemasons,.......conspiracy theory
 
Back
Top Bottom