Man Jau
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 507
- 779
Ukiona mtu anakutishia swali ulilouliza ujue hajui, tafuta Mtu mwingine akuelekeze.Sawa endelea lakini ukitaka kujua kuwa unadanganywa ulizia chanzo cha mungu uone utakavyotishwa na wenzio
Mungu hana chanzo, as you know it.
Ni sawa na umtengeneze roboti, alafu akuulizie chanzo chake, na ukamwambiwa kuwa ulimtengeneza via Ai mwaka 2022...alafu (roboti) akuulize tena chanzo cha Mwanadamu 😂😂😂
Hapo roboti lazima umbutue😂😂😂😂😂😂