Ukiona mtu anakutishia swali ulilouliza ujue hajui, tafuta Mtu mwingine akuelekeze.Sawa endelea lakini ukitaka kujua kuwa unadanganywa ulizia chanzo cha mungu uone utakavyotishwa na wenzio
Kwa hiyo wewe umeamua kwenda Kuzimu ama?Sawa mwenda peponi
Asante mkuu.Ukiona mtu anakutishia swali ulilouliza ujue hajui, tafuta Mtu mwingine akuelekeze.
Mungu hana chanzo, as you know it.
Ni sawa na umtengeneze roboti, alafu akuulizie chanzo chake, na ukamwambiwa kuwa ulimtengeneza via Ai mwaka 2022...alafu (roboti) akuulize tena chanzo cha Mwanadamu πππ
Hapo roboti lazima umbutueππππππ
Hakuna mtu amekukataza kusali na kuamini wala kwenda kuabudu ila elewa mada ndio utoe hoja yako na sio kukimbilia kwenye kivuli cha utakuwa chizi.Mimi ni BUDHAA. Sidanganyiki na hila zako.Nitaendelea kufanya ibada na kuamini uwepo wa MUNGU mpaka mwisho.
Dunia imeumbwa na nani kama si MunguHakuna mtu amekukataza kusali na kuamini wala kwenda kuabudu ila elewa mada ndio utoe hoja yako na sio kukimbilia kwenye kivuli cha utakuwa chizi.
Kilicho andikwa kwenye mada sio general conclusion kwaiyo na wewe changanya na zako pia jaribu kufuatalia kwenye source mbali mbali.Dunia imeumbwa na nani kama si Mungu
Sasa hawa wapagani wanapinga uwepo wa MunguKilicho andikwa kwenye mada sio general conclusion kwaiyo na wewe changanya na zako pia jaribu kufuatalia kwenye source mbali mbali.
Alafu elewa ya kwamba sisi tunatakiwa kumtafuta MUNGU zaidi kuliko yeye anavyo tutafuta sasa swala la kuwa chizi sio point.
Ukielewa kuhusu MUNGU basi utajua namna ya kumfuata na kuishi kwenye misingi ya mungu na sio kwenye misingi ya dini.
Sasa wewe utampataje Mungu nje ya dini? Hebu tufafanulie namna yakumpataKilicho andikwa kwenye mada sio general conclusion kwaiyo na wewe changanya na zako pia jaribu kufuatalia kwenye source mbali mbali.
Alafu elewa ya kwamba sisi tunatakiwa kumtafuta MUNGU zaidi kuliko yeye anavyo tutafuta sasa swala la kuwa chizi sio point.
Ukielewa kuhusu MUNGU basi utajua namna ya kumfuata na kuishi kwenye misingi ya mungu na sio kwenye misingi ya dini.
sio kwa njia ya dini ambazo tunatambua ya kwamba tuliletewaSasa wewe utampataje Mungu nje ya dini? Hebu tufafanulie
Mmh! Sasa Kama tutamtafuta kwa imani zetu weusi na ushahidi Ni mdogo mno huoni Kama wajao watatilia mashaka Kama sisi tunavyotilia mashaka imani za wenzetu?sio kwa njia ya dini ambazo tunatambua ya kwamba tuliletewa
Ila ni kwa imani yetu kama watu weusi
Historia zetu zilizikwa lakini bado hatujachelewa kutafuta ukweli kuhusu imani yetu ya kwel katika kumtafuta mungu.
sio kwamba ushaid ni mdogo ila mentality yetu ni ndogo sana kuhusu kuhoji na pia jamii yetu inamtazama vibaya mtu anae jaribu kuuliza kuhusu hizi dini za mkoloniMmh! Sasa Kama tutamtafuta kwa imani zetu weusi na ushahidi Ni mdogo mno huoni Kama wajao watatilia mashaka Kama sisi tunavyotilia mashaka imani za wenzetu?
Sasa ndugu yangu kwakweli endapo ujumbe wa dini ungekuwa Ni ulaghai basi nafikiri hata wazungu wasingesali. Jaribu kupima mambo na sio kusema tumeletewa tu.sio kwamba ushaid ni mdogo ila mentality yetu ni ndogo sana kuhusu kuhoji na pia jamii yetu inamtazama vibaya mtu anae jaribu kuuliza kuhusu hizi dini za mkoloni
Ukwel ni kwamba lazima tujiulize kabla ya hizi dini kuletwa wazee wetu waliwezaje kuwasiliana na mungu
Pia itakuwa vyema kujiuliza kwann historia yetu imeanzia apa kwenye mambo ya utumwa kabla ya biashara ya utumwa watu walikuwa wanaishije?
Wazee wetu walijaribu kuweka historia iliyo simama kwaajir ya vizaz vyao lkn mzungu akawa mjanja kuifutilia mbali alafu akapandikiza ya kwake
Kunabaadhi ya makanisa huwa wanasema hivi
Mtakatifu peter utuombee. Unaweza kujiuliza kuhusu hili? Kwanni wanasema peter awaombee na ni mtu alikufa miaka mingi iliyo pita
Basi na sisi tutaje mizimu yetu
(wahenga) kwenye ibada zetu chini ya miti mikubwa.
Shida nyingine kubwa Ni kwamba wale jamaa walihamishwa nakupewa ardhi na Mungu Kama wanavyodai na ushahidi tumeuona leo wanavyopambana na palestina. Sasa tusemeje Tena? Huoni Kama yapo sahihi?sio kwamba ushaid ni mdogo ila mentality yetu ni ndogo sana kuhusu kuhoji na pia jamii yetu inamtazama vibaya mtu anae jaribu kuuliza kuhusu hizi dini za mkoloni
Ukwel ni kwamba lazima tujiulize kabla ya hizi dini kuletwa wazee wetu waliwezaje kuwasiliana na mungu
Pia itakuwa vyema kujiuliza kwann historia yetu imeanzia apa kwenye mambo ya utumwa kabla ya biashara ya utumwa watu walikuwa wanaishije?
Wazee wetu walijaribu kuweka historia iliyo simama kwaajir ya vizaz vyao lkn mzungu akawa mjanja kuifutilia mbali alafu akapandikiza ya kwake
Kunabaadhi ya makanisa huwa wanasema hivi
Mtakatifu peter utuombee. Unaweza kujiuliza kuhusu hili? Kwanni wanasema peter awaombee na ni mtu alikufa miaka mingi iliyo pita
Basi na sisi tutaje mizimu yetu
(wahenga) kwenye ibada zetu chini ya miti mikubwa.
Useme nani kampendelea mwanadamu, binadamu kujipendelea mwenyewe hivi ni sifa gani inakufanya ujitofautishe na wanyama wengine, Umewahi kujiuliza hao wanyama pia wanamuona vipi mwanadamu!? What if kama mbwa anakiona we ndio mbwa!?Kama kila kitu kimetokea kwa bahati mbaya/accidentally/Nature kama wanavyoita wao . THEN MBONA HAIKOKEI SIMBA.Tembo. Twiga au ngamia wakachati kwa kutumia smart phone kama binadamu..
Nini kimetokea hadi hiyo Nature akabagua viumbe wengine wote na kumpatia ufahamu binadamu kuendesha hii Dunia..
Kama ni hivyo basi hii Nature inaubaguzi sana kudharau viumbe wengine wote na kumpenda zaidi binadamu..
Na kama nature inaubaguzi kiasi hiki nani kaifundisha hiyo sellection ya kuacha Fisi na mamba asiwape.akili kama binadamu..
Mbona Ngamia hajui kusoma na kuandika ..
Nani kampendelea binadamu kujua yote hayo na viumbe wengine wasijue..