RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Mkuu hio hata moja siwezi kumudu.Njoo Kariakoo mtaa wa Kipata.
Zinauzwa TSH 10000 - 15000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hio hata moja siwezi kumudu.Njoo Kariakoo mtaa wa Kipata.
Zinauzwa TSH 10000 - 15000
Shida kwelikweli,wengine unakuta wanavaa barakoa,wanaivua kwa kuishusha kidevuni Kisha wanavaa Tena,yaani Bora usivae tuSurgical masks ni janga kwa raia wengi kutumia hususan huku kwetu, mbali na gharama ni disposable, sasa na tabia yetu ya kutupa hovyo huenda tukatengeneza vehicle nyingine ya kusambaza..., bora ya nguo mtu akipiga chafya kwa asilimia ndogo abaki na mzigo wake akifika home na disinfectanta aosheb mzigo wake na sio kuwagawia jamii through disposing
Hapo ndo maana unaambiwa njia salama zaidi Ni lockdown,,,mask zinasaidia lakini zinaweza kuwa hatari kwa wasiojua namna ya kutumia.Maski mtu anavaa..ukifika muda wa lunch anavua anaiweka mezani au mfukoni. Akimaliza anaivaa Tena. Kumbuka huko mfukoni alipoiweka ndipo kwenye Ela ambazo atazitumia kwenye manumuzi n Kuna simu pia ambayo anautumia kuangalia nyuzi za JF..Licha ya hivyo hapo mezani alipoiweka atakuja kukaa mdau mwingine ambaye pengine hajui kwamba kuna mpuuzi aliweka mask yake. So maambukizi yanaenda in cycle like that.
Tatizo la nchi yetu kila sehemu wanasiasa mnajitia ndiyo mna akili na utaalam wakati wengi mliokimbilia kwenye siasa ni vilaza. Maelezo ya na maelekezo ya kuvaa mask yalitakiwa yatolewe na kufanyiwa ufafanuzi na wataalam husika. Nyie wanasiasa ndiyo mnajifanya mnajua utaalam wa kila sekta. Kwa mfano huyu mjinga Makonda ameshapotosha watu wengi sana na bado anaendelea kupotosha. Hata hizo amri za kuvaa mask anazotoa zilitakiwa zitolewe na wataalam huku wakielezea kwa undani jinsi mask zinavyotakiwa kuvaliwa, kutumiwa, kutunzwa nk. Hiyo amri aliyotoa inaweza kuleta maafa na watu wakaambukizana zaidi kwa sababu ya kukosa mwongozo sahihi wa aina na utumiaji wa mask.Ukweli utabaki pale pale siku zote ni kwamba barakoa aina ya N95 respiratory masks, Surgical masks,FFPI ndio zipo imara kuzuia maambukizi ya Corona .Na kwa mujibu wa Intergrated Pharmacitical company " Varsoy healthcare" na American lung association Barakoa hizi ndio zenye uwezo wa kuzuia maambukizi "Particles of virus in Droplets" kwa asilimia kubwa karibu 95.
TBC kwa sasa kipaumbele imeweka kwenye kuweka vipindi maalum vya maombi, baada ya hapo ni kuelimisha jamii kuhusu kishindo kikuu cha mafanikio ya serikali ya awamu ya tanoHii elimu ya uvaaji mask na ubora wake inapaswa kutolewa kwa wananchi
TBC kama televisheni ya Taifa na TV zingine zingefanya hivyo ingekuwa jambo la maana sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
We nondo sio kila kitu pingapinga unajifanya umegeuka kua mtaalamu. Hizo N95 mask zenyewe unazijua? Ngoja nikupe shule ya mask zinavyofanya kazi.
Watu wengi mnakuja na argument kua COVID virus ni ndogo sana kiasi kwamba inapenetrate kwenye mask ambazo sio N95, hiyo argument ni ya kishenzi na inatolewa sana na watu ambao hata Physics hawajui.
Mmesahau kitu kimoja cha muhimu sana, virus anakaa kwenye droplets, na hizi droplets ni kubwa mno kiasi kwamba hazipenetrate popote pale, sasa kuvaa mask yoyote ile ni muhimu kwa sababu moja kubwa “Mask haikulindi wewe kutokupata maambukizi toka kwa mwenzako, mask inamlinda mwenzako kutokupata maambukizi toka kwako” em rudia mara mbilimbili hiyo statement. Wewe ukipiga chafya au kukohoa kwa kua umevaa mask zile droplets kubwa zote zinabaki kwenye mask hazitoki nje, kwa hiyo huambukizi wengine, na wao hivyo hivyo, sasa nashangaa kuona kilaza anavaa mask wee alafu akitaka kupiga chafya au kukohoa anaitoa anasambaza virus alafu anarudi kuvaa Nyoookoooooo ni bora asingevaa tu.
Kama mtu una mask, wakati unakohoa au kupiga chafya au hata kuongea kwa sauti sababu droplets zinarukaruka usivue mask, au ukivua piga chafya kwenye kitambaa (handkerchief) droplets zote zinabaki hapo wengine wanabaki salama.
Ukifikiria kikilaza kama excuse wanazokuja nazo akina nondo kua mask ni kuzuia usiambukizwe na mwingine naomba nikwambie hata N95 mask hazizuii virus kupenetratre, wahudumu wote wa afya wanazitumia nchi zilizoendelea kama italy zaidi ya wahudumu 30,000 bado wameugua pamoja na kuvaa mask na suit kabisa za kujikinga, wanadeal na wagonjwa wasumbufu ambao hawavai mask.
Usifate maagizo ya marekani wameshindwa kucontrol huu ugonjwa, angalia Hong Kong, South Korea, Singapore walivyopata case chache tu wakaeleza kila mwananchi avae mask YOYOTE ILE, nchi nzima wakavaa, leo hii curve hao ipo flat, marekani wanasema mask hazisaidii leo hii wanavunja rekodo ya vifo kila siku
So don’t be stupid people. Think differently
Tatizo la nchi yetu kila sehemu wanasiasa mnajitia ndiyo mna akili na utaalam wakati wengi mliokimbilia kwenye siasa ni vilaza. Maelezo ya na maelekezo ya kuvaa mask yalitakiwa yatolewe na kufanyiwa ufafanuzi na wataalam husika. Nyie wanasiasa ndiyo mnajifanya mnajua utaalam wa kila sekta. Kwa mfano huyu mjinga Makonda ameshapotosha watu wengi sana na bado anaendelea kupotosha. Hata hizo amri za kuvaa mask anazotoa zilitakiwa zitolewe na wataalam huku wakielezea kwa undani jinsi mask zinavyotakiwa kuvaliwa, kutumiwa, kutunzwa nk. Hiyo amri aliyotoa inaweza kuleta maafa na watu wakaambukizana zaidi kwa sababu ya kukosa mwongozo sahihi wa aina na utumiaji wa mask.
Njoo Kariakoo mtaa wa Kipata.
Zinauzwa TSH 10000 - 15000
Alafu itakubidi ununue Kwa familia yote sioMkuu hio hata moja siwezi kumudu.
Hiyo bei ni Kwa pc 1 Tu ukifika mitaa ya Kariakoo mtaa wa Kipata kuna maduka kama (grands care, planet pharmacy,Robbi pharmacy,bariki pharmacy itazipata pia ukija mtaa wa Lindi Kwenye maduka ya vifaa vya mahabara utapata..10000 ni kwa piece moja au Dozen?
Kama ni kwa piece moja Watanzania walio wengi hawatamudu kununua kwa kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataalam wapo. Unataka kuniambia Tanzania yote hakuna wataalam? Ndiyo.... wamenyimwa audience! Mfumo wetu umewaweka pembeni. Akitokea mtaalam wa afya kama wa mambo ya virology leo akaitisha mkutano na kusema juu ya mask kesho anaweza kujikuta yuko rumande kwa amri iliyotolewa na Makonda. Kwa ufupi ni kwamba mfumo wetu unawafanya wasiwe na sauti kwenye mambo ya majanga kama haya.Hao wataalamu wako wapi? Na kwa nn wasiseme? Wamenyimwa audience?
Wataalam wapo. Unataka kuniambia Tanzania yote hakuna wataalam? Ndiyo.... wamenyimwa audience! Mfumo wetu umewaweka pembeni. Akitokea mtaalam wa afya kama wa mambo ya virology leo akaitisha mkutano na kusema juu ya mask kesho anaweza kujikuta yuko rumande kwa amri iliyotolewa na Makonda. Kwa ufupi ni kwamba mfumo wetu unawafanya wasiwe na sauti kwenye mambo ya majanga kama haya.
Hivi bado wanakula bakora. Nataka niombe tenda ya Ku supply viboko
Watazimudu wapi? Wewe umemuona huyu dogo kama ana huo uwezo wa kununua barakoa hata za wiki?Kwasababi wewe ni mpinzani,kila kitu unapinga. Na unajua kila kitu,tafadhali sana usivae barakoa. Virus wa corona wanakuogopa.
Na kwakuwa wewe ni mropokaji,umeshindwa hata kuwaza kuwa gharama ya hizo barakoa unazozipigia debe ni kubwa sana. Inambidi mtu mmoja atumie zaidi ya elfu 80 kwa siku. Ni watanzania wangapi watamudu!?
Barakoa hizo moja huuzwa zaidi ya elfu 20. Na kila baada ya SAA 4 hutakiwa kubadilishwa. Hiyo mtamudu ninyi tuu matapeli wa kisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi bado wanakula bakora. Nataka niombe tenda ya Ku supply viboko
God save us