Mjadala kuhusu kuvaa barakoa: Majibu yangu kwa Shangazi Maria Sarungi

Shida kwelikweli,wengine unakuta wanavaa barakoa,wanaivua kwa kuishusha kidevuni Kisha wanavaa Tena,yaani Bora usivae tu
 
Pia hata sabuni tunazonawa nazo ni kama tunapoteza muda na maji tu. WHO wanashaur tunawe kutumia sabuni au sanitizer zenye alcohol 60% and above. Wmila huku tunadanganyana mpaka unakuta sehem nyingine wameweka zile dawa za kusafishia choo ndyo wananawia.

Au unakuta sanitizer yenye 60% alcohol ipo diluted.

Nilikuja na Uzi humu kushaur serkal ipime yale maji yaliyotumika kunawia ili tujue kma kweli vidudu vinakufa au laa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N95 hua naziona kwenye migodi ya Barrick mtaani sijui kama bei yake inashikika
 
Hapo ndo maana unaambiwa njia salama zaidi Ni lockdown,,,mask zinasaidia lakini zinaweza kuwa hatari kwa wasiojua namna ya kutumia.

Mfano,kuvua mask Kama huyu nesi,uache inaning'inia hivyo baadae Tena uipandishe puani Ni hatari,,ukivua tupa,,ndo maana manesi wengi wamekufa kea uzembe huu
 
Tatizo la nchi yetu kila sehemu wanasiasa mnajitia ndiyo mna akili na utaalam wakati wengi mliokimbilia kwenye siasa ni vilaza. Maelezo ya na maelekezo ya kuvaa mask yalitakiwa yatolewe na kufanyiwa ufafanuzi na wataalam husika. Nyie wanasiasa ndiyo mnajifanya mnajua utaalam wa kila sekta. Kwa mfano huyu mjinga Makonda ameshapotosha watu wengi sana na bado anaendelea kupotosha. Hata hizo amri za kuvaa mask anazotoa zilitakiwa zitolewe na wataalam huku wakielezea kwa undani jinsi mask zinavyotakiwa kuvaliwa, kutumiwa, kutunzwa nk. Hiyo amri aliyotoa inaweza kuleta maafa na watu wakaambukizana zaidi kwa sababu ya kukosa mwongozo sahihi wa aina na utumiaji wa mask.
 
Hii elimu ya uvaaji mask na ubora wake inapaswa kutolewa kwa wananchi

TBC kama televisheni ya Taifa na TV zingine zingefanya hivyo ingekuwa jambo la maana sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
TBC kwa sasa kipaumbele imeweka kwenye kuweka vipindi maalum vya maombi, baada ya hapo ni kuelimisha jamii kuhusu kishindo kikuu cha mafanikio ya serikali ya awamu ya tano
 

Content yako ni hiyo hiyo ya Nondo

Haujasoma post nzima ya nondo
 


Hao wataalamu wako wapi? Na kwa nn wasiseme? Wamenyimwa audience?
 
We dogo umekunywa kwanza uji wa asubuhi?

Wakati unajiandaa kunijibu kama unakunywa ama la naomba nikuambie kuwa barako za N 95 hata marekani yenyewe ni shida. Hospitali nyingi huko hazina. Kwa mantiki hii punguza ushamba wa kujifanya unajua kumbe hujui.

God save us
 
Mkuu hio hata moja siwezi kumudu.
Alafu itakubidi ununue Kwa familia yote sio
10000 ni kwa piece moja au Dozen?
Kama ni kwa piece moja Watanzania walio wengi hawatamudu kununua kwa kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo bei ni Kwa pc 1 Tu ukifika mitaa ya Kariakoo mtaa wa Kipata kuna maduka kama (grands care, planet pharmacy,Robbi pharmacy,bariki pharmacy itazipata pia ukija mtaa wa Lindi Kwenye maduka ya vifaa vya mahabara utapata..
Ila bei yake alafu kama Una familia ni ngumu kumudu gharama zake maana itakubidi ununue Kwa familia nzima
 
Hao wataalamu wako wapi? Na kwa nn wasiseme? Wamenyimwa audience?
Wataalam wapo. Unataka kuniambia Tanzania yote hakuna wataalam? Ndiyo.... wamenyimwa audience! Mfumo wetu umewaweka pembeni. Akitokea mtaalam wa afya kama wa mambo ya virology leo akaitisha mkutano na kusema juu ya mask kesho anaweza kujikuta yuko rumande kwa amri iliyotolewa na Makonda. Kwa ufupi ni kwamba mfumo wetu unawafanya wasiwe na sauti kwenye mambo ya majanga kama haya.
 

Sawa, nilitaka uje na hili jibu

Bado hatujajifunza kuachia wataalamu mambo yao

Kuanzia mainjiniaz wanasheria, financialists, economists na madaktari wanaonewa mno

Sio makonda tu ni limfumo libovu tulilonalo
 
Watazimudu wapi? Wewe umemuona huyu dogo kama ana huo uwezo wa kununua barakoa hata za wiki?

God save us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…