Mjadala kuhusu kuvaa barakoa: Majibu yangu kwa Shangazi Maria Sarungi

Daktari Makonda ameshauri watu wake wavae rubber band!!
Kweli nchi ina viongozi wataalam
 
Wanasiasa tunawaomba mambo haya muwaachie wataalamu.

Kwa sababu mnabwabwaja tu bila kuangalia athari.

 
Mkuu ni hatari sana kutoa maelekezo potovu kwa jambo muhimu linalogusa afya ya binadamu wakati kuna wataalamu wa afya wenye mamlaka na sifa ya kuelekeza jambo.
Mimi kinachonikera ni kwanini wapotoshaji wanazidi kupewa muda zaidi wa kupotosha?
 

Punguza kuandika magazeti
 
Mkuu ni hatari sana kutoa maelekezo potovu kwa jambo muhimu linalogusa afya ya binadamu wakati kuna wataalamu wa afya wenye mamlaka na sifa ya kuelekeza jambo.
Mimi kinachonikera ni kwanini wapotoshaji wanazidi kupewa muda zaidi wa kupotosha?
Ni kweli mkuu. Mimi nadhani ni upole wa kijinga tulio nao watanzania ndiyo unawapa viburi vya kusambaza ujinga wao kila kukicha. Anyways, tuombe Mungu atende miujiza yake (japo ni ujinga kuomba wakati tunafanya uzembe) ugonjwa usilete madhara makubwa la sivyo mimi naona hawa virus wanaweza kuleta mabadiliko makubwa kwenye hatma ya Tanzania ki-uongozi
 
Alafu dogo Nondo mnafikiri kuandika gazeti ni sifa? Hoja yako ungeweza kui present kwa paragraph chache tu na ikaeleweka. Sio kila hoja inahitaji references, kuna facts zinajitosheleza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo muhimu ya afya yanafanyiwa siasa. Tukifa sijui hizo siasa watafanyia nani.
 
Mkuu mimi nafikiri labda kuna maslahi binafsi.
Unaambiwa na mamlaka iliopewa madaraka ya kushughulikia Corona, unakataa,unarudia wanakupa onyo bado unagangana ,kama si maslahi binafsi ni nini?Something is very wrong sijui kama TAKUKURU inaliona hili?
 
Wanasiasa wachanga bana...... Wanapinga KILA kitu ...........
 
Abdul Nondo hongera kwa kuonesha kwamba unafuatilia hizi ishu. Shida yako huzisomi na kuzielewa ili zikusaidie kupinga.

Mfano. Unasmea ukivaa za kitambaa zinakusaidia kupunguza uwezekano wa kuambukiza mwingine, hapo hapo unasema siyo nzuri.

Kama zinapunguza uwezekano wa kuambukiza wengine na ndo ziko cheap kwa nn tusizitumie?

Jitahidi Sana kutafakari Mdogo wangu kabla ya kuleta hoja, kuwa na source afu ukashindwa kuzijengea hoja yako,ni kuidhalilisha ngome ya Vijana ya ACT-Wazalendo.

Post #2 Chukua Soda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Njia ya kukwepa hiyo gharama ni kukaa ndani kwako yaani kujipiga Quarantine na keep distance
 
Hili ndio tatizo la wanasiasa wetu wanafahamu kila kitu.
 
Mask ya kawaida nikivaa inamlinda Yule, yule akivaa inanilinda mimi. Kwahio wote tukivaa tunalindana. Ni bora kuvaa ya kitambaa kuliko kutovaa kabisa. Hizo N95 upatikanaji wake ukoje hapa Tz?
Sina uhakika
Ila nahisi ni bei ghali
Hizi surgical mask elf 2 ila nahisi hizo N95 ni elf 10!
 
Akili kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…