Mjadala kuhusu kuvaa barakoa: Majibu yangu kwa Shangazi Maria Sarungi

.
 
Mask ya kawaida nikivaa inamlinda Yule, yule akivaa inanilinda mimi. Kwahio wote tukivaa tunalindana. Ni bora kuvaa ya kitambaa kuliko kutovaa kabisa. Hizo N95 upatikanaji wake ukoje hapa Tz?
Uko sahihi kabisa
 
Maelezo ni marefu mno halafu hayana utatuzi.wewe unaijua vizuri Sana nchihiibadala ya kuhimiza hizo barakoa za kienyeji zishonwe unaleta habari za Marekani.kwani hutujui cc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umevamia mada kwa mkwara nzito na bado umekosa hoja za kueleweka. Hebu fafanua kwanini mask haimkingi mvaaji. Tueleze pia kama kuna utofauti wa ubora na matumizi ya barakoa za N95, FFP1, FFP2 na surgical.
 
Sijamsikia Maria Sarungi au kusoma ameandika nini juu ya barakoa za vitambaa lakini kwa maana ya matumizi ya barakoa sahihi ni sawa kuwa ni hizo za N95, Surgical nk. Hata hivyo ni vizuri tujiulize kama majority ya watanzania ambao wanaishi chini ya dollar moja wanaweza kumudu bei ya hizo barakoa sahihi? Ni wazi kuwa hawawezi na nafikiri Maria Sarungi atakuwa amewafikiria zaidi wananchi hao ambao ndiyo wengi.

Swala la kuomba zipunguzwe bei ni sawa lakini bado hazitafikia bei ambayo majority wataweza kumudu huku mlo mmoja kwa siku unawashinda.
 
N95 hua naziona kwenye migodi ya Barrick mtaani sijui kama bei yake inashikika
Ungeendeleza huu mchango wako kwa
N95 hua naziona kwenye migodi ya Barrick mtaani sijui kama bei yake inashikika
Ingependeza zaidi kama ungeendeleza huu mchango wako kwa kumuuliza swali Graph kama mask hizi zinavaliwa na watu wa mgodini ili kujikinga au kuwakinga wenzao?
 
Usisahau pia ni hao hao WHO walisema corona haisambazwi binadamu kwa binadamu.Unakumbuka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…