Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mshauri mzuri anaweza kuwa Kafulila maana ame exit ndoa muda si mrefu
 
Utajuaje mke ambaye Mungu kakupangia?
 
Nilikuwa kwenye daladala na shoga jirani abiria kwenye seat nikaona anachat na hubby wake.

Sisi wakinamama tunapowachoka waume zetu yaani majibu ni mafupimafupi tu.

Mwanaume wa watu anaandika gazeti shost anajibi fupifupi tu. Kuna muda alibinyeza kinatan Cha kuzima simu, Akai Zima Kwa.mida kama dakika 15 akaiwasha akaenda kwenye ukurasa anaochati na mumewe, hwkusoma gazeti la mumewe. Akijibu tu bila kusoma kazi ni nyingi. Ndio akaanza kulisoma kazet akazima simu.

Nilitafakari wanaume mnapotia wakati mgumu sana Kwa sababu hamjui sisi tunawaonaje.

Yaani nikaona akivyo dada angu yule alitokea mwanaume aka test tubanabeba
 
Daah
 
Pole kaka
Shida nini
Wamekula?
Hakusikilizi?
Makelele?
Sema tu
Hutakua wakwanza,humu jf kuna nyuzi nyiingi zimepita..hata yako itapita..
Ongea usikae nalo moyoni [emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…