Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

sorry mkuu.

nimeona umeweka emoji yakudeka Tena unamdekea mshikaji.ndio nikakufananisha na demu wangu.
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” Duuh itakuwa sina elimu ya emoji basi ila pp
 
Mapenzi yanauma sana
Tena sana, ukipata nafasi ya kuumiza moyo wa mwanamke we umiza tu, tena umiza.

Kataa ndoa
Kataa ndoa
Ndoa ni ujinga sana.
Umiza wanawake
Timu kataa ndoa umevuna ponti za kutosha kwa uzi huu
 
Vijana mmevurugwa aisee huwa nawaasa sana 'Dont force love' Mapemzi ni kama sumaku there is always natural power inayo waunganisa lasivyo mtakufa nyie.

Haya one man down
 
Nyuma ya ajenda yenu ya kukataa ndoa ndio mnahimiza U-LGBTQ.....wazee wa upinde kasi yenu kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…