Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Kwa hiyo huyo mwanamke mmoja kabeba dhambi za wanawake wote?

Acha ushamba dogo
 
Si ndio hapo sasa eti mtu hamjuani halafu anakwambia unajua nini unasema sijui[emoji57]
Si ndio hapo sasa eti mtu hamjuani halafu anakwambia unajua nini unasema sijui[emoji57]
Sisi wanaume tuko real wala hatupretend pia ni rahisi sana kuwa na conversation na stranger yoyote kwa jambo lisilo sawa.
 
Wanaume punguzeni umbea.....
Sasa kwanini msitulie?Unakuta mtu anajiachia anagongwagongwa,sijui hajui kua heshima yake inashuka?
Mbaya zaidi unakuta mtu ana uke unatoa harufu mbaya,lakini anagawa kinoma na ameolewa,kwanini msitulie au muamue muwe singo madhas?
Kuolewa halafu unakua unaachiaachia hovyo,ni kujidhalilisha wewe mwenyewe na mume wako pia,pamoja na watoto wako,bora uzalishwe,watoto wachukuliwe na baba,wewe ubaki unagawa tu.
Najiuliza hata hizo dakika 15,mwanamke anaridhika au ni tamaa tu?
Vifo vikitokea,analaumiwa mwanaume,ambaye amefanywa mjinga muda mrefu,kaja kugundua baadae.Inasikitisha sana.Zikivuja kua mke wa flani anagongwa kinoma,mkisikia,mnasema watu wambea,mbona mkifanya mambo mazuri,mkitangazwa mnafurahia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…