Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Ni kweli kuwa ndoa ni moja ya taasisi inayopitwa na wakati kwa haraka zaidi.

Kwa sasa na wakati ujao wengi hawatakuwa tayari kujifungia kisheria au kiimani katika mahusiano ya kudumu.

Kuna scenario nyingi zaweza onekana kutokana na hali hiyo:
•Watoto wa nje ya ndoa watakuwa wengi na hawataweza kupata malezi sahihi ya mwili na akili.
• Wazazi wa kike wasio na waume(single mothers) watakuwa wengi pia.
•Tabia za ushoga na usagaji zitazidi kukua ikiambatana na ubadilishaji wa jinsia kisheria na kimaumbile.
•Wanawake watazidi kujiweka kwenye nafasi ya kuwa watafutaji na wengi wao watakuwa bora zaidi ya wanaume katika hili.
•Heshima iliyojengeka muda mrefu kati ya hizi jinsia mbili itapungua sana kama sio kwisha kabisa.
•Jukumu la kulea watoto litawaangukia wanawake zaidi.
Hii itawafanya kuwa karibu zaidi na watoto kuliko wanaume.

Binafsi nadhani jamii ya namna hiyo haitakuwa imara na itakaribisha mambo mengi ya hovyo.

Alafu sioni sababu ya hiyo kampeni ya “kataa ndoa”.
Kama mtu hataki kufunga ndoa si aache tu?

Kufunga au kutofunga ndoa ni maamuzi binafsi. Hakuna sheria ya nchi inayokataza mwanamke au mwanaume kuishi kama mseja. Na kufuata maagizo ya kiimani pia ni kwa kuchagua mwenyewe.

Kwangu mimi, ndoa kati ya mume na mke ndiyo njia pekee ya mahusiano kati ya jinsia hizi ambayo inamwinua binadamu juu ya wanyama wengine.

Tunajua wote kuwa kama ni ngono tu, wanyama wote wanafanya.

Binafsi pia sijawahi wasikia hao wakataa ndoa ingawa namtambua mleta mada kama
mchambuzi na mtu mwenye fikra mpya wa issue nyingi za muhimu katika jamii yetu.
 
Hawo wote wasiotaka ndoa Kuna walioaminishwa ni mbaya, waliotendewa na wanawake wasiotulia,wengine ni Malaya, wengine ni mashoga, wengine ni wanaona hela zikatumike ni haiwezekani
 

Tusiporudi kwenye imani zetu kwa uhakika na kutii, nami nakubali vijana wapo sahihi.
 
Ndoa ni simple acha kukaza kichwa ...Masherehe sijui showoff na kuleta mambo ya kizungu ni huko kwenu sio wote ndoa simple kibao nimeziona na ziko alive mpaka sasa ..
 
Vijana wapo sahihi ndoa za sasa ni kero wanawake hawana adabu unaishi na mwanamke ndani hana maana yoyote unaishi na mwanamke anataka mashindano nawe yaaa nawashauri vijana hasa wa mikoa ya Iringa Mbeya Njombe na Songwe ishi mwenyewe ukishindwa kabisa kabisa basi unapo taka kuoa wanawake basi jaribu kukwepa kuoa binti wa kabila la Kinyaturu hasa walio zaliwa na kukulia Singida hawa sio wanawake wa kuoa ni pasua kichwa hawana tabia za kujishusha wao ni mashindano tu wavivu wa kujituma kwa lolote kwenye ndoa yaan iwe nyakati za kufanya mapenzi iwe kazini ila ni mabingwa wa kuoga ubishi kutaka usawa muda wote jiadharin kama mnataka amani katika maisha hapa dunian ni kheri usioe ukaishi mzinifu kwaa amani na jehanam utaenda kwa matendo ya uzinifu na mengine kuliko ukakwepa uzinifu kuogopa jehanam ukaishi kwa karaha hapa dunian na bado jehanam utaenda kwa dhambi nyingine maana dhambi ni nyingi
 
Cc dronedrake
 
Kwa nn vijana wa irnga, njombe, na sio kwingineko?
 
Hii ipo vizuri, Msiposaini yale makaratsi si anajua muda wowote ataondoshwa heshima na adabu inakuepo, Lakin akishasaini tuu kiburi juuu. Pia naona walichifanya mahakama ya kenya kubadili sheria ya 50/50 ni jambo zuri, wajue hata kama mmesaini makaratsi lakin mkiachana ataondoka na nguo zake tuu.
 
Hii video inatoa majibu ya nn kinaendelea
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi mambo yakikaa vizuri nitaoa lakini ni ile kwenda kumtolea mahari binti na kumchukua kwao kihalali ila upuuzi wa kusaini makaratasi ya sheria na kula kiapo kanisani sitaki
Ukiijua vizuri sheria ya mirathi ndo utajua hata hiyo ni ndoa tyr na mali atagawaa na watoto ukiaga dunia
 
Wazungu Wengi hawafungi ndoa za karatasi siku hizi...unaaambiwa wanaoenda funga ndoa ni chini ya asilimia 10..Ufaransa Hadi wameweka title ya "Patner au Partnership "kwenye makaratasi yao....ili kama Una mke Unaishi nae lakini hamjafunga ndoa za kusaini makaratasi unamtaja kama "Partner" na inaeleweka...

Huku Africa bado ulimbukeni wa kufanya harusi na vyeti vya ndoa n a migogoro ya sheria kuhusu hivyo vyeti kwenye kugawana Mali bado Sana vitatusumbua
 
Kama Wanyaturu vimeo, basi wanyiramba na warangi itakuwa hatari zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…