Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

UFUNUO 21:8
Bali WAOGA, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
 
Hivi hizi Kampeni zinazoendeshwa za Wanaume kukataa Ndoa zina fadhiriwa na nani na kwa lengo gani?

Imagine Wazee wetu wasinge mwoa Bi Mkubwa wako, leo hii mngekuwa hapo mlipofikia?

Familia ndiyo Msingi wa Jamii bora, ndiyo msingi wa Serikali imara.

Nadhani badala ya kuhimizana kukataa Ndoa, ni vyema kuhimizana kupiga goti kwa Mungu kuomba akujalie kupata mke mwema. Wanasema Mke mwema hutoka kwa Bwana.

Tukiacha haya mambo yakue na kuchipua kuna hatari ya kuwa na jamii ya hovyo sana huko mbele ya safari.
 
Kusema ukweli kama huna vitu hivi vitatu muhimu achana kuoa utakufa unalalamika.
1. Mwanaume kama huna akili za kutosha achana na ndoa
2. Mwanaume kama huna wakika wa kipato cha kuendeshea maisha na maendeleo achana na wanawake.
3. Kama huna emotional intelligence, ya kubance ndoa na mke acha kuoa.
 
Tatizo la mitoto ambayo imelelewa bila wazazi
 
Sinunui kiumbe
Sifugi kiumbe
Sifanyi biashara ya utumwa
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
eti nitoe mahari , nihudumie kiumbe kinacho offer papuchi tu
pesa ya mahari , nakamata estate ya ukweli Nzasa huko nashusha vibanda vingine kadhaa, safi kabisa
 
Chai ya moto na hizi mvua za dar saizi yangu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…