Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Aisee au jamaa na yeye ni mwalimu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno haya yana busara na hekima.Unaweza kuoa na ukafika 80 bila mke vile vile?maisha ni fumbo hakuna aijuae kesho.
Kuoa ni jambo zuri sana ! Lakini sasa simetimes ni jambo baya sana pia.
Binadamu tumeumbwa tofauti kwa namna nyingi hivyo ni vyema kila mtu akafanya lile jambo litakalo mfanya aishi kwa furaha katika haya maisha mafupi hapa duniani.
Kuoa hakukupi uhakika hasa kwamba utapata matunzo wakati wa uzee na hata kuzeeka pia si jambo dogo nowdays tunaishi maisha mafupi mnoo wenye jeuri ya kufika miaka 70 ni wachache.
Endelea kujipa moyo kwa kuwa bado u kijana una nguvu za mwili.KATAA NDOA, KATAA NDOA, NDOA NI UJINGA ULIOCHANGAMKA
Ndiyo maana nimesema ni vyema kumwomba Mungu akusaidie umpate mwenza ambaye hatakuwa pasua kichwa.Sasa kama wanawake ni pasua vichwa? Bro PEACE OF MIND IS MORE PRECIOUS THAN ANYTHING.
Wapo mbona wengi tu. Wanakamatwa kwelikweliHivi kwa mtu mwenye akili timamu anaweza kujenga ukweni akaacha kwake? Mtoa mada hivi ni chai au?
Ukiona mtu anahamasisha watu wakatae ndoa ujue huyo mtu amewahi kubakwa au tayari ni muathirika wa mahusiano ya jinsia mojaNi yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu
Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto
Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea
Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
Hakuna mtu asiyependa jambo la kheri kama kuwa na ndoa na familia yenye furaha, hili jambo ukilitizama kwa mtazamo chanya ni jambo zuri sana.Ndiyo maana nimesema ni vyema kumwomba Mungu akusaidie umpate mwenza ambaye hatakuwa pasua kichwa.
Ila familia ni jambo la kheri sana.
Msingi wa maadili huanzia level za familia.
Tunaendekeza kulea watoto peke yetu as a single parent mwisho wa siku tuna haribu kesho ya vijana wetu.
Mungu asaidie vizazi vyetu
Jamii yetu ilipofikia ni kwamba tuna hadi viongozi wa umma ambao wanaonekana tu wakilea watoto au mtoto huku baba wa mtoto hajulikani, huko mbele tutegemee kuona viongozi mashoga na mabasha.Hivi hizi Kampeni zinazoendeshwa za Wanaume kukataa Ndoa zina fadhiriwa na nani na kwa lengo gani?
Imagine Wazee wetu wasinge mwoa Bi Mkubwa wako, leo hii mngekuwa hapo mlipofikia?
Familia ndiyo Msingi wa Jamii bora, ndiyo msingi wa Serikali imara.
Nadhani badala ya kuhimizana kukataa Ndoa, ni vyema kuhimizana kupiga goti kwa Mungu kuomba akujalie kupata mke mwema. Wanasema Mke mwema hutoka kwa Bwana.
Tukiacha haya mambo yakue na kuchipua kuna hatari ya kuwa na jamii ya hovyo sana huko mbele ya safari.
Ni kweli, kuoa sio uhakika utapata matunzo mazuri uzeeni. Ni kuomba Mungu tu upate mwenza mwenye utu. Ni juzi tu tumetoka kuzika kaka yetu, yaani maisha aliyokuwa anaishi yanasikitisha. Alipata mke bomu balaa. Alikufa akiwa na kilo kama za mtoto, hakuwa na lishe etc. Alipata pension zaid ya 200m lakini sijui zilifanyia nini. Shida tupu. Ila asiyesikia la mkuu, aliambiwa sana kuhusu kuto kuoa huyo mwanamke lakini alishupaza shingo.Unaweza kuoa na ukafika 80 bila mke vile vile?maisha ni fumbo hakuna aijuae kesho.
Kuoa ni jambo zuri sana ! Lakini sasa simetimes ni jambo baya sana pia.
Binadamu tumeumbwa tofauti kwa namna nyingi hivyo ni vyema kila mtu akafanya lile jambo litakalo mfanya aishi kwa furaha katika haya maisha mafupi hapa duniani.
Kuoa hakukupi uhakika hasa kwamba utapata matunzo wakati wa uzee na hata kuzeeka pia si jambo dogo nowdays tunaishi maisha mafupi mnoo wenye jeuri ya kufika miaka 70 ni wachache.
Wamebembelezwa sana hadi wanaona kuwa maisha bila wao hayawezekani. Sasa sisi tuwabembeleze na bills tunalipa mwenyewe, achana na hizo mbaga.Hivi hizi Kampeni zinazoendeshwa za Wanaume kukataa Ndoa zina fadhiriwa na nani na kwa lengo gani?
Imagine Wazee wetu wasinge mwoa Bi Mkubwa wako, leo hii mngekuwa hapo mlipofikia?
Familia ndiyo Msingi wa Jamii bora, ndiyo msingi wa Serikali imara.
Nadhani badala ya kuhimizana kukataa Ndoa, ni vyema kuhimizana kupiga goti kwa Mungu kuomba akujalie kupata mke mwema. Wanasema Mke mwema hutoka kwa Bwana.
Tukiacha haya mambo yakue na kuchipua kuna hatari ya kuwa na jamii ya hovyo sana huko mbele ya safari.
Ngoja ufike umri fulani, uone atakavyokubadilikia.hawa wanaokataa kuoa ukiwauliza wana nn cha maana utakuta hawana chochote wanachomiliki zaidi ya mageto yao na flat ya inch 32 anaona kamaliza, wakati watu tuna wake na tupo na kazi ya kununua maviwanja tu daily na kupanga mabiashara ya kuzidi kututoa, tatizo mnaolea nyege ukifikiria mke kazi yake ni kutombwer tu kwahiyo ukipata demu wa kumzagamua unaona ameshika nafasi ya Mke
Nashangazwa na mnaopenda kutumia mahusiano ya watu ambao sio jamaa zenu wala ndugu zenu. Hivi kwenye ukoo wenu wote umekosa ndugu yako hata mmoja ambaye anaweza kuwa role model wako ?Kama mke wa masanja na katibu?
get to your senses, muhimu ni Pesa tuEndelea kujipa moyo kwa kuwa bado u kijana una nguvu za mwili.
Subiria ufike 50 uone umuhimu wa hiki ninachokisemea
Sasa ukifika huo umri mkeo akakukataa, na watoto wakaajiri msaidizi kukufanyia kazi kunatofauti gani na ukiwa mwenyewe bila hizo vitu.Hello, kuiga ni kuzuri ila siyo kila kitu cha kuiga.
Wazungu wanayaweza hayo maisha maana kwao kuna nyumba za kutunza wazee,
sasa jichanganye,uendelee kuponda maisha,na mwenyezi Mungu akujalie ufike 80s
ndo utajua kama kuoa kuna faida au hasara.
Bahati mbaya utawapa mzigo mkubwa ndugu zako waliooa huku ukiwadharau.
Hiyo ni zaman dhama zimebadilika sana nowadays..Imagine Wazee wetu wasinge mwoa Bi Mkubwa wako, leo hii mngekuwa hapo mlipofikia?
AkomeNi yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu
Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto
Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea
Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
Daah! Sasa kama hapo ndoa inakuwa na maana gani?inasikitisha sanaNi kweli, kuoa sio uhakika utapata matunzo mazuri uzeeni. Ni kuomba Mungu tu upate mwenza mwenye utu. Ni juzi tu tumetoka kuzika kaka yetu, yaani maisha aliyokuwa anaishi yanasikitisha. Alipata mke bomu balaa. Alikufa akiwa na kilo kama za mtoto, hakuwa na lishe etc. Alipata pension zaid ya 200m lakini sijui zilifanyia nini. Shida tupu. Ila asiyesikia la mkuu, aliambiwa sana kuhusu kuto kuoa huyo mwanamke lakini alishupaza shingo.