MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Sasa ndugu zangu nadondosha jiwe lauhakika lamwisho naenda kulala...
isaya 45..20.. Inasema . Jikusanyeni enyi mje. karibia pamoja. Ninyi wamataifa miliookoka.....hawana ufahamu wale wachukuao mti wa sanam yao ya kuchonga. Wamuombao Mungu asieweza kuokoa.....

.... Sasa swali likohivi ninani anae bebelea lisanamu la mti wakuchonga nakulitembeza. Nyumba hadi nyumba kama si ninyi wa katholiki.alimaalufu .Rc.bibili inasema katika kitabu cha isiya jikusanyeni enyi wamataifa miliookoka ..inaendelea kusema ninyi munao beba sanamu kua hamuna uelwa.. wowote munachukua mti wa sanamu yenu yakuchonga. munauomba kama mungu.. nahuku hauwezi kuokoa.....
Wa rc hilisomo litafakalini sana halafu mhoji kwanini bado munabeba masanamu nawakati yesu alisha kufa msalabani nakufufuka zamani...
huumda siowakuba masanamu huu nimda wakuomba na kufunga tu enzi za sanamu zilikua enzi za msa kule jangwa kabla yesu hajaja duniani lkn kwasasa alishakuja tunasubilia kuludi kwake tu.
 
hao wanaaitwa jamaa. kuna tofauti kubwa. cheki luka 21:16 inavyotofautisha.

16 Wazazi wenu, ndugu, jamaa na rafiki zenu watawasaliti ninyi; na baadhi yenu mtauawa.

hapo wamezungumzwa ndugu, jamaa na marafiki. vitu tofauti. ndugu walizaliwa pamoja.

unajua hata wanafunzi wa Yesu hawakuwa ndugu zake?

yohana 2:12

12 Baada ya hayo, Yesu alishuka pamoja na mama yake, ndugu zake na wanafunzi wake, wakaenda Kafarnaumu ambako walikaa kwa siku chache

hayo maandiko ya Yohana 19 yanasema hivi.

26 Yesu alipomwona mama yake na yule mwanafunzi aliyempenda wamesimama karibu, alimwambia mama yake, “Mama, huyo ni mwanao!” 27 Kisha akamwambia yule mwanafunzi, “Na huyo ni mama yako.” Tangu wakati huo yule mwanafunzi akamchukua mama yake Yesu nyumbani kwake.

zingatia hizo funga na fungua semi. hapo inaonekana Yesu alitaka mama yake apate malezi bora kutoka kwa Petro, hasa ya kiroho ukizingatia kuwa ndugu zake wengi hawakumuamini. yohana 7:5.
5 Maana hata nduguze hawakumwamini.
unasemaje kuhusu haya maandiko? utabisha kuwa Maaria na Yusufu hawajawahi kufanya tendo la ndoa?. mathayo 1:25
unasemaje kuhusu haya maandiko? utabisha kuwa Maaria na Yusufu hawajawahi kufanya tendo la ndoa?. mathayo 1:25
 
Katika somo hilo la isaya lina makundi matatu anawambia jikusanyeni.. Kundi la pili anasema karibia ninyi wa mataifa miliookoka. . Analikalibisha kundi lamataifa lililookoka.. .. .. Kundi latatu bibilia inasema hwana uelewa wachukuao mti wa sanamu yao ya kuchonga wamuombao mungu wao asie weza kuokoa ...

. Nazani nimeeleweka vizuli
Yapomengi yaliyopotoshwa nahili kanisa kama maswala ya bikila kupaa mbinguni huu niuongo uliokomaa.. kunywa usilewe niuongo ..kibya zaidi kwenyehili kanisa bikla malia ametukuka kumzidi yesu yani nijambo la kustajabu nakusikitika kabisa.. Wakati bibilia nzima agano lakale na agano jipya yote yanamzungumuzia yesu..lkn kunawatu wamemuibua maria nakupoka mamlaka yayesu nakuufinya utawala wayesu ndani yakanisa hili
 
siku ukiniambia nikwanini kitabu cha ufunuo na Daniel vimeandikwa kwa mtindo wa apocalypto/ apokalifa ntakuona wamaana sana!!
 
Licha ya kutokujua ulichoandika lakini pia umeandika vibaya sijawai ona !!
Hujui hata historia ya Roman as an empire na Roman as Christ bearing !!

Hizo R na L mbona uko hovyo kuliko wakurya!!
Maana yake kwa akili hizo huwezi kuwa mkurya unless otherwise ulizaliwa na baba wa nje ya wakurya.
Eti "menyewe" ndio mini??
 
JamiiForums Mimi "ntarara na nyie mbere" ( in mkulu's voice) kuwepo na vigezo madhubuti hata kama in online interview kuhakikisha kila anayejiunga Jf ana kitu chochote kichwani sio kwa huu upoyoyo ninaouona hapa!!

Mpaka natamani kukajua haka katoto in detail !!
Eti "Bikla Malia"
 
Kasome tamaduni za Kiyahudi kisha njoo jadiliana na mimi...

Au kama Kigiriki kinapanda kasome huo mstari mstari uone ndugu wanaoongelewa hapo ni kina nani..?
 
Watumishi wote wakiloho wanaofanya mambo sawasawa nabibilia wanahaki ya kibibilia kuwaondolea watu zambi lkn si hawa walevi wazinzi eti wanatoa zambi hakuna kitukacho muhana zambi na mtu mwenyezambi humutenga mbali mamungu..
Dogo tarehe 9 sio mbali, zingatia maelekezo ya joining instructions!!

Shati jeupe na sketi ya Damu ya mzee!!
Viatu ni Juma na Roza nyeusi!!
 
Kasome tamaduni za Kiyahudi kisha njoo jadiliana na mimi...

Au kama Kigiriki kinapanda kasome huo mstari mstari uone ndugu wanaoongelewa hapo ni kina nani..?
Maria na Yusufu walifanya tendo la ndoa, hawakufanya?

Nkobe
Tatizo hapa ni liturugia, sisi wakatoloki hatusomi maandiko tunasomewa liturugia hivyo hata Biblia hatuijui.
Kwa mfano ibada zetu zimeandaliwa padri anakuja soma hivyo maombi ya tangia mwaka jana ni yaleyale hiyo ndo liturugia.
Bikra Maria ni binadamu kama sisi alitumika kumzaa Yesu. Lakini eti tunamwomba atiombeee biblia inasema jiombee nafsi yako.
Tunaimba mtakatifu...... utuombee hizo ni nyimbo tu siyo maombi.
 
Maria na Yusufu walifanya tendo la ndoa, hawakufanya?

Yosefu hakumjua Maria na wala hakuna mahala kunasemekana walikutana kimwili...Hizo ni tafsiri potofu za maandiko...

Nimekuambia tafuta biblia ya Kigiriki ndio utajua...Kingereza ni lugha masikini kwa Kigiriki i.e ina misamiati michache
 
Nkobe
Tatizo hapa ni liturugia, sisi wakatoloki hatusomi maandiko tunasomewa liturugia hivyo hata Biblia hatuijui.
Lirugia ni kitu gani wewe. ?? Unaposema hatusomi maandiko unamaanusha nini....??? Masomo matatu kwenye ibada ni hekaya za abunuasi sio...???

Kwa mfano ibada zetu zimeandaliwa padri anakuja soma hivyo maombi ya tangia mwaka jana ni yaleyale hiyo ndo liturugia.
Wewe ulitakaje..??? Hivi unajua maana ys adhimisho la Ekaristi Takatifu ...? Unadhani kanisa katoliki tunaenda kuimba mapambio na kutoana mapepo hewa ..??

Bikra Maria ni binadamu kama sisi alitumika kumzaa Yesu.
Kwanini Mungu alimchagua Yeye na asimchague mwanamke mwingine...???
Lakini eti tunamwomba atiombeee biblia inasema jiombee nafsi yako.
Wapi biblia inasema jiombee nafsi yako mwenyewe....?? Unapomwambia rafiki yako akuombee unakuwa unamaanisha nini..?
Soma ufunuo 5:8 uone Jinsi Watakatifu wanavyotuombea...

Tunaimba mtakatifu...... utuombee hizo ni nyimbo tu siyo maombi.
Unaimba wewe na nani...?

NB: Siyo lazima kujinasibu ati wewe ni Mkatoliki ndio uvute attention ya watu kusoma bandiko lako....
 
Maria na Yusufu walifanya tendo la ndoa, hawakufanya?
Nimekuambia tafuta Biblia ya Kigiriki uone tofauti....

BTW; ili tusitoke nje ya mada, hakuna hata mmoja aliyejibu ni kwanini Martin Luther alipunguza vitabu 7 vya Agano la Kale...? Kwanini alipunguza kitabu cha Ufunuo, Yakobo na Waebrania...???

Tuende kisomi zaidi, ili tusiharibu mada...Kama unajibu nipe....

Mambo ya B/Maria ili upate majibu sahihi anzisha mada hakika nitakuja kukujibu
 
kutoa vitabu na kupinga kuombewa na Maria yote yalianzishwa na Luther. kwanini unasema la Maria linatoka nje ya mada na lakupunguza vitabu liwe ndani ya mada? nijibu hiyo mathayo 1:24.
 
kutoa vitabu na kupinga kuombewa na Maria yote yalianzishwa na Luther. kwanini unasema la Maria linatoka nje ya mada na lakupunguza vitabu liwe ndani ya mada? nijibu hiyo mathayo 1:24.
Jikite kwenye mada husika....!!!!

Nimekuambia anzisha mada nitakuja kukujibu....

Nipe sababu za Luther kupunguza vitabu vys Biblia....Niambie ni mamlaka gani aliyatumia na aliyatoa wapi...?
 
Yosefu hakumjua Maria na wala hakuna mahala kunasemekana walikutana kimwili...Hizo ni tafsiri potofu za maandiko...

Nimekuambia tafuta biblia ya Kigiriki ndio utajua...Kingereza ni lugha masikini kwa Kigiriki i.e ina misamiati michache
watu wakioana huwa wanafafanya ngono. pia hakuna sehemu biblia imesema hawakufanya ngono.website ya umoja wa maaskofu wa katoliki marekani inasema.
* He had no relations with her until she bore a son and he named him Jesus.l
 
Kwanini Martin Luther alipunguza vitabu vya Agano la Kale...?

Kwanini aliondoa vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania...??
 
Suala sio ubinadamu, hata yesu alikua binadamu ,binadamu wote walikufa no watakufa ila utofauti ni aina ya vifo vyetu, yesu alikufa ila kifo chake kilikua si kifo kama cha binadamu wengine, mama Maria na yy alikufa ila kifo chake naye hakikua kama cha watu wengine (kwa kukuhakikishia katafute kaburi au ulizia kaburi lake kama utakaa ulione)
 
Cha Msingi hapa ni mtu kushika alichonacho , siyo kukashfiana dini za watu , kwa kubishana hivi hamtafikia muafaka hata cku moja ,hawa kina fst naona wanapiga tu mboyoyo hamna wana lolijua ktk bible bora ukae kimya kuliko kujifanya much know.
 
Jikite kwenye mada husika....!!!!

Nimekuambia anzisha mada nitakuja kukujibu....

Nipe sababu za Luther kupunguza vitabu vys Biblia....Niambie ni mamlaka gani aliyatumia na aliyatoa wapi...?
kuna mambo luther hakuwa sahihi. ila mengi alikuwa sahihi. kuna vitabu alikuwa sahihi kutoa na vingine hakuwa sahihi. hatupaswi kuangalia in black and white.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…