Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je umeambiwa uwaabudu au uwaombe wao.... Umesahau Mungu anasema yeye ni Mungu mwenye wivu hupaswi kuabudu Mungu/miungu mingine ?Maombi ya Watakatifu na wale wazee 24 wanaokizunguka kiti cha Mwanakondo yalikuwa ni watu gani...??
Hebu Soma Ufunuo 5:8
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Biblia inasema Bikra Maria ataitwa mbarikiwa, na dunia itamsifu kuwa yeye ni mbarikiwa. Bikra Maria kwa mujibu wa kumbukumbu za kanisha hakufa, alipaazwa. Ujui historia, huyu mama ni the special, hata waprotestant wakimtupa sisi Wakatoliki tutaendelea kutimiza unabii kwa kumuita mbarikiwa
Maono ya Nani....?,BY THE WAY KITABU CHA UFUNUO NI MAONO
Aliyekuambia si ya moja kwa moja ni nani ..??NA TAFSIRI YA MAONO MARA ZOTE SI YA MOJA KWA MOJA,
Kwa hiyo unataka kupingana na maandiko. ? Hiyo tafsiri yako umeitolea wapi. .??KUONA MWANAMKE ANATAJWA HAINA MAANA KWAMBA NI MALKIA WENU UNAYEMSEMA,
Hivi wewe unajua dhima ya kitabu cha Apokalipto ya Yohana kweli wewe...?? Unajibunia bunia tuu....?? Huku unakotaka kwenda naona unataka kuharibu sasa..NYOTA 12 NI FUMBO AMBALO LAWEZA KUW[A KABILA 12 ZA ISRAELI AU MITUME 12,
Tafsiri nyepesi kwa mujibu wa nani...? Kwanini unschukulia ni nyepesi...? Na hilo kanisa ni kanisa gani...!?MWANAMKE KWA TAFSIRI NYEPESI NI KANISA.
Maana naona wewe ni mvivu wa kusoma haya ngoja nikupe vitu ..Je umeambiwa uwaabudu au uwaombe wao.... Umesahau Mungu anasema yeye ni Mungu mwenye wivu hupaswi kuabudu Mungu/miungu mingine ?
Kwani alichaondika kina uongo...?Hivi huyu Kisandu siyo mental case kweli?
BASI NI KANISA KATOLIKI, NA MALKIA WA UBAO, NA YESU YULE AMBAYE HAJASHUKA MSALABANI HADI KESHO...UMEFURAHI??? GO ON WITH VATICAN OFFICIAL CHURCH TEACHINGS...MAANA NAONA UNAJARIBU KUITETEA SERIKALI YA VATICAN KWA NGUVU ZAKO ZOTE HATA KAMA NI KWA KUJITOA UFAHAMU!!!Naono ya Nani....?,
Aliyekuambia si ya moja kwa moja ni nani ..??
Kwa hiyo unataka kupingana na maandiko. ? Hiyo tafsiri yako umeitolea wapi. .??
Hivi wewe unajua dhima ya kitabu cha Apokalipto ya Yohana kweli wewe...?? Unajibunia bunia tuu....?? Huku unakotaka kwenda naona unataka kuharibu sasa..
Tafsiri nyepesi kwa mujibu wa nani...? Kwanini unschukulia ni nyepesi...? Na hilo kanisa ni kanisa gani...!?
Mkuu haya mafundisho ya ukatoliki ndo huwa anakufundisha Mchungaji wako.Mimi nimwanadamu ninae Muhitaji Yesu lakini wewe pia unamuhitaji Yesu ili akuweke huru na upotofu wa fikra na ufia dini kana kwamba tutaenda kuhukumiwa siku ya mwisho na dini zetu au dhehebu zetu,NENO ndo litakalo tuhukumu hivyo nyie endeleeni kumsihi bikra maria awaombee rehema na akati aliepewa mamlaka ya kusamehe na kutuombea ni Yesu kristo peke yake na si mtume yoyote wala nani!!! ila sio mbaya mkuu nyie hata mkifa dhambini padri akija kwnye maziko yako akaomba rehema unasamehewa ila kwa sisi ukifa hakuna kutubu wala kuombewa rehema kwa mujibu wa neno
Atleast ungenijibu maswali hata mawili niliyokuuliza...?BASI NI KANISA KATOLIKI, NA MALKIA WA UBAO, NA YESU YULE AMBAYE HAJASHUKA MSALABANI HADI KESHO...UMEFURAHI??? GO ON WITH VATICAN OFFICIAL CHURCH TEACHINGS...MAANA NAONA UNAJARIBU KUITETEA SERIKALI YA VATICAN KWA NGUVU ZAKO ZOTE HATA KAMA NI KWA KUJITOA UFAHAMU!!!
Hivi mkuu ibada za kuombea wafu huwa mnazifanya kwa kusudi lipi??Mkuu haya mafundisho ya ukatoliki ndo huwa anakufundisha Mchungaji wako.
Basi kwanini hata mwenyewe tu usijisomee uujue ukatoliki ili uwe na hoja za msingi, napata shida kujua hiyo Rehema unayosema anaombewa marehemu ili afike mbinguni sijawahi isikia ndo naisikia kwako.
Sheria Ipi ya kanisa katoliki imeweka utaratibu huo na hatuujui.
Ikiwa hujui jambo uliza tu ujibiwe.
Ndo nyie ambao mtu anakaa madhabahuni anasema divai ni juice kwakweli duniani hakuishi vituko.
Pombe ilihalalishwa na Yesu sio kanisa ila ulevi na ulafi ulipingwa na Yesu na kanisa.
Kuna ombwe kanisa katoliki haliwafunzi vyema waamini wake wengi hawaujui ukatoliki ila ni wakatoliki hilo ndio tatizo la wakatoliki wengi niliokutana nao.
Ila nikiambiwa katika ukristo dhehebu gani lina watu wanafikiri vizuri huwa naona wakatoliki sio wahafidhina na wanaweza kuishi na Jamii vizuri sana.
Tunaziombea roho za marehemu wote zipate rehema kwa Mungu zipumzike kwa amani.....Hivi mkuu ibada za kuombea wafu huwa mnazifanya kwa kusudi lipi??
NILIKUWA HUKO KABLA SIJAACHANA NA HIYO KITU YA 'KUNYWA KIDOGO LAKINI USILEWE' NAJUA UGUMU WA MIOYO YA WATU WALIOKOLEWA NA MASANAMU NA ULEVI NA UZINZI WA KIFICHO KIFICHO...SI RAHISI KUKUSAIDIA ILA NIKUHAKIKISHIE TU KUWA MBINGUNI HAKUNA MALKIA. YESU WANGU HANA KIMADA, SURIA WALA MCHUMBA WA KUITWA MALKIA PALE MBINGUNI...Atleast ungenijibu maswali hata mawili niliyokuuliza...?
Bure kabisa!!!'
Toa porojo ..NILIKUWA HUKO KABLA SIJAACHANA NA HIYO KITU YA 'KUNYWA KIDOGO LAKINI USILEWE' NAJUA UGUMU WA MIOYO YA WATU WALIOKOLEWA NA MASANAMU NA ULEVI NA UZINZI WA KIFICHO KIFICHO...SI RAHISI KUKUSAIDIA ILA NIKUHAKIKISHIE TU KUWA MBINGUNI HAKUNA MALKIA. YESU WANGU HANA KIMADA, SURIA WALA MCHUMBA WA KUITWA MALKIA PALE MBINGUNI...
SIJAONA SWALI, ILA UGUMU WAKO WA KUELEWA TU!!!! UKITOKA HAPA UKAKIINAMIE KINYAGO HAPO PEMBENI NA KUKIBUSU...NALALAToa porojo ..
Jibu maswali niliyokuuliza ...Hata moja basi...
Mtakaowaondolea dhambi watakua wameondolewa na mtakaowafungia watakua wamefungiwa .Ila jaman hivi inawezekanaje mtu badala ya kuungama kwa mungu akaungame kwa mwanadamu mwenzake?