MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Hapo ufunuo haingei kua nibikila.. Bali inaongelea siku zijazo .. Labda nikukumbusha tu kipindi yona ana andika kitabu chaufunuo malia alikuepo akiendela kulabata yeye na mmewe
 
Maombi ya Watakatifu na wale wazee 24 wanaokizunguka kiti cha Mwanakondo yalikuwa ni watu gani...??
Hebu Soma Ufunuo 5:8
Je umeambiwa uwaabudu au uwaombe wao.... Umesahau Mungu anasema yeye ni Mungu mwenye wivu hupaswi kuabudu Mungu/miungu mingine ?
 
Biblia inasema Bikra Maria ataitwa mbarikiwa, na dunia itamsifu kuwa yeye ni mbarikiwa. Bikra Maria kwa mujibu wa kumbukumbu za kanisha hakufa, alipaazwa. Ujui historia, huyu mama ni the special, hata waprotestant wakimtupa sisi Wakatoliki tutaendelea kutimiza unabii kwa kumuita mbarikiwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
BY THE WAY KITABU CHA UFUNUO NI MAONO
Maono ya Nani....?,

NA TAFSIRI YA MAONO MARA ZOTE SI YA MOJA KWA MOJA,
Aliyekuambia si ya moja kwa moja ni nani ..??

KUONA MWANAMKE ANATAJWA HAINA MAANA KWAMBA NI MALKIA WENU UNAYEMSEMA,
Kwa hiyo unataka kupingana na maandiko. ? Hiyo tafsiri yako umeitolea wapi. .??

NYOTA 12 NI FUMBO AMBALO LAWEZA KUW[A KABILA 12 ZA ISRAELI AU MITUME 12,
Hivi wewe unajua dhima ya kitabu cha Apokalipto ya Yohana kweli wewe...?? Unajibunia bunia tuu....?? Huku unakotaka kwenda naona unataka kuharibu sasa..

MWANAMKE KWA TAFSIRI NYEPESI NI KANISA.
Tafsiri nyepesi kwa mujibu wa nani...? Kwanini unschukulia ni nyepesi...? Na hilo kanisa ni kanisa gani...!?
 
Je umeambiwa uwaabudu au uwaombe wao.... Umesahau Mungu anasema yeye ni Mungu mwenye wivu hupaswi kuabudu Mungu/miungu mingine ?
Maana naona wewe ni mvivu wa kusoma haya ngoja nikupe vitu ..

Ufunuo 5:8

Hata alipokitwa kile kitabu, hao wenye uhai 4 na wazee 24, wakaanguka mbele za mwana kondoo, kila mmoja wao na kinubi na vitasa vya dhahabu vilivyojaa manukato, ambayo ni Maombi ya Watakatifu
 
Yesu aliyajua kuawa siku zijazo kunawatu watamtukuza bikla ..kaamua kupigilia msumali kavitabu vyiote vya injili vinasema ..yesu alipokua hekaluni akihubi kaja mtu akamwambia Bwana nduguzo nawazazi wako wakoinje wanakuita.. Yesu akajibu ndugu zangu nawazazi wangu niwale wanao lisikia neno la Mungu..kuanzia hapo huyo bikila wenu alianza kupoteza muelekeo ndani yabibilia.. Ee huundio ukweli japo wa Rc hamuutaki lakini tunausema
 
Hivi huyu Kisandu siyo mental case kweli?
Kwani alichaondika kina uongo...?

Kwamba Martin Luther hakupunguzs vitabu 7 vya Agano la Kale...?

Hujui Biblia ya Martni Luther baada ya kuwa excommunicated ilikuwa haina vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania...?
 
Naono ya Nani....?,

Aliyekuambia si ya moja kwa moja ni nani ..??

Kwa hiyo unataka kupingana na maandiko. ? Hiyo tafsiri yako umeitolea wapi. .??

Hivi wewe unajua dhima ya kitabu cha Apokalipto ya Yohana kweli wewe...?? Unajibunia bunia tuu....?? Huku unakotaka kwenda naona unataka kuharibu sasa..

Tafsiri nyepesi kwa mujibu wa nani...? Kwanini unschukulia ni nyepesi...? Na hilo kanisa ni kanisa gani...!?
BASI NI KANISA KATOLIKI, NA MALKIA WA UBAO, NA YESU YULE AMBAYE HAJASHUKA MSALABANI HADI KESHO...UMEFURAHI??? GO ON WITH VATICAN OFFICIAL CHURCH TEACHINGS...MAANA NAONA UNAJARIBU KUITETEA SERIKALI YA VATICAN KWA NGUVU ZAKO ZOTE HATA KAMA NI KWA KUJITOA UFAHAMU!!!
 
Mimi nimwanadamu ninae Muhitaji Yesu lakini wewe pia unamuhitaji Yesu ili akuweke huru na upotofu wa fikra na ufia dini kana kwamba tutaenda kuhukumiwa siku ya mwisho na dini zetu au dhehebu zetu,NENO ndo litakalo tuhukumu hivyo nyie endeleeni kumsihi bikra maria awaombee rehema na akati aliepewa mamlaka ya kusamehe na kutuombea ni Yesu kristo peke yake na si mtume yoyote wala nani!!! ila sio mbaya mkuu nyie hata mkifa dhambini padri akija kwnye maziko yako akaomba rehema unasamehewa ila kwa sisi ukifa hakuna kutubu wala kuombewa rehema kwa mujibu wa neno
Mkuu haya mafundisho ya ukatoliki ndo huwa anakufundisha Mchungaji wako.
Basi kwanini hata mwenyewe tu usijisomee uujue ukatoliki ili uwe na hoja za msingi, napata shida kujua hiyo Rehema unayosema anaombewa marehemu ili afike mbinguni sijawahi isikia ndo naisikia kwako.
Sheria Ipi ya kanisa katoliki imeweka utaratibu huo na hatuujui.
Ikiwa hujui jambo uliza tu ujibiwe.
Ndo nyie ambao mtu anakaa madhabahuni anasema divai ni juice kwakweli duniani hakuishi vituko.
Pombe ilihalalishwa na Yesu sio kanisa ila ulevi na ulafi ulipingwa na Yesu na kanisa.
Kuna ombwe kanisa katoliki haliwafunzi vyema waamini wake wengi hawaujui ukatoliki ila ni wakatoliki hilo ndio tatizo la wakatoliki wengi niliokutana nao.
Ila nikiambiwa katika ukristo dhehebu gani lina watu wanafikiri vizuri huwa naona wakatoliki sio wahafidhina na wanaweza kuishi na Jamii vizuri sana.
 
Hivi mbona bibilia hamutaji kua malia ndio malikia .. Hapo ufunuo unapo pasema hapamutaji kua alikua akisemwa malia.. Labda nikukumbushe tu bibilia haibahatishi nenda kasime katika zabuli uone bibilia imemusema yule malikia alienda kumtembela selemani alietoka katika inchi zambali.. Kwahiyo yule wa inchi zambali ilimkumbuka kumutaja halafu huyu malaia wa nazaleti ikamusahau ..nilishawambia mda mlefu hizo tasubili zenu mnazosoma zinawapotosha malia alikufa kama walivyokufa wengine.. Nakama alikufa kwamjibu wa bibilia amelala usingizi hakuna anchokijua kwasasa .. Ninachowashauli hamisheni maombi yenu muanze kuomba huluma ya yesu tu
 
BASI NI KANISA KATOLIKI, NA MALKIA WA UBAO, NA YESU YULE AMBAYE HAJASHUKA MSALABANI HADI KESHO...UMEFURAHI??? GO ON WITH VATICAN OFFICIAL CHURCH TEACHINGS...MAANA NAONA UNAJARIBU KUITETEA SERIKALI YA VATICAN KWA NGUVU ZAKO ZOTE HATA KAMA NI KWA KUJITOA UFAHAMU!!!
Atleast ungenijibu maswali hata mawili niliyokuuliza...?

Bure kabisa!!!'
 
Mkuu haya mafundisho ya ukatoliki ndo huwa anakufundisha Mchungaji wako.
Basi kwanini hata mwenyewe tu usijisomee uujue ukatoliki ili uwe na hoja za msingi, napata shida kujua hiyo Rehema unayosema anaombewa marehemu ili afike mbinguni sijawahi isikia ndo naisikia kwako.
Sheria Ipi ya kanisa katoliki imeweka utaratibu huo na hatuujui.
Ikiwa hujui jambo uliza tu ujibiwe.
Ndo nyie ambao mtu anakaa madhabahuni anasema divai ni juice kwakweli duniani hakuishi vituko.
Pombe ilihalalishwa na Yesu sio kanisa ila ulevi na ulafi ulipingwa na Yesu na kanisa.
Kuna ombwe kanisa katoliki haliwafunzi vyema waamini wake wengi hawaujui ukatoliki ila ni wakatoliki hilo ndio tatizo la wakatoliki wengi niliokutana nao.
Ila nikiambiwa katika ukristo dhehebu gani lina watu wanafikiri vizuri huwa naona wakatoliki sio wahafidhina na wanaweza kuishi na Jamii vizuri sana.
Hivi mkuu ibada za kuombea wafu huwa mnazifanya kwa kusudi lipi??
 
Atleast ungenijibu maswali hata mawili niliyokuuliza...?

Bure kabisa!!!'
NILIKUWA HUKO KABLA SIJAACHANA NA HIYO KITU YA 'KUNYWA KIDOGO LAKINI USILEWE' NAJUA UGUMU WA MIOYO YA WATU WALIOKOLEWA NA MASANAMU NA ULEVI NA UZINZI WA KIFICHO KIFICHO...SI RAHISI KUKUSAIDIA ILA NIKUHAKIKISHIE TU KUWA MBINGUNI HAKUNA MALKIA. YESU WANGU HANA KIMADA, SURIA WALA MCHUMBA WA KUITWA MALKIA PALE MBINGUNI...
 
Toa porojo ..
Jibu maswali niliyokuuliza ...Hata moja basi...
 
Labda niwakumbushe kidogo japo mtajaa jaziba katika watu wanao tuhuhumiwa kumuuwa yesu nimakundi mawili togauti kundi lakwanza niwatu wenyeitikadi za kisabato watu washelia hawajamaa walimulaumu yesu kwakuvunja shelia mpaka wakamfikisha kizimbani ... Nakundi lapili ni kathoriki kipindihicho likiwa kama fola la kiloma lililo muhukumu yesu lehii haya haya makundi bila aibu yanakuka kuhubili habali za yesu tena yakijifanya menyewe ndiyo yanayojua habali za yesu kuliko wengine..sasa kama mngelijua habali za yesu kuliko wengine basi minge muuwa.. Ndomaana yesu anasema enyiwanafiki munaopiga langi makabuli yazamani nahuku nyie hao hao ndio mio wauwa acheni unafiki..aliwajua tokamwanzo kuwa watakao muuwa yee ndio watajifanya wanamhubili
 
Ila jaman hivi inawezekanaje mtu badala ya kuungama kwa mungu akaungame kwa mwanadamu mwenzake?
Mtakaowaondolea dhambi watakua wameondolewa na mtakaowafungia watakua wamefungiwa .
Labda useme Yesu alikosea kusema hayo
 
Watumishi wote wakiloho wanaofanya mambo sawasawa nabibilia wanahaki ya kibibilia kuwaondolea watu zambi lkn si hawa walevi wazinzi eti wanatoa zambi hakuna kitukacho muhana zambi na mtu mwenyezambi humutenga mbali mamungu..
 
Back
Top Bottom