MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Yaelekea huijui Biblia au unatumika kupanda mbegu ya mafarakano.Je wamfahamu John Huss? kam unamfahamu alikufaje na kwa sababu gani,wamfahamu Zinzendorf?
Tupe sababu za Martin Luther kuondoa vitabu 7 vya Agano la Kale....

Kisha utupe sababu ya yeye kutaka kuondoa(Actually Alishaviondoa kabisa) vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania ....?
 
Tupe sababu za Martin Luther kuondoa vitabu 7 vya Agano la Kale....

Kisha utupe sababu ya yeye kutaka kuondoa(Actually Alishaviondoa kabisa) vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania ....?
Otorong'ong'o achana na hujo jamaa inaonekana kind of illiterate alafu ana element za kipagani hana anachojua na wala hataki kikua.
 
Ebu anzisha thread utupe historia ya kanisa katoliki usivuruge thread ya watu.
 
Ebu anzisha thread utupe historia ya kanisa katoliki usivuruge thread ya watu.

Kuchangia siyo kuvuruga.Umegusa Imani. Bahati nzuri mada hii ya watu wa Imani moja. Katika Imani hii kila mchangiaji anagusa eneo moja tu kujenga au kubomoa.Ajengaye ni wa Kristo na anaye bomoa ni wa mwovu.
 

wakatoliki na biblia wapi na wapi?? mi namuunga mkono luther....si mnaona nyie wenyewe mnavotofautiana kuna wale kama walokole na wengine tradional rc, mtu yeyote akisoma historia ya roma kwa muda mrefu ni rahisi sana kujitenga, upako mdogo mno.
 
Tupe sababu za Martin Luther kuondoa vitabu 7 vya Agano la Kale....

Kisha utupe sababu ya yeye kutaka kuondoa(Actually Alishaviondoa kabisa) vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania ....?
hivyo vitabu saba hata wayahudi wenyewe hawajaviweka kwenye vitabu vyao vitakatifu.
 
Jamani kwa mujibu wa andiko lakitabu cha matendo 4.11_12. Maria hanasifa zakuwa muombezi wawatu ..wala watu waliokufa hawezi kuwa waombezi wawatu hata siku moja maana mwenyemamlaka hayo ni yesu peke yake ..

Yesu mwenyewe anasema ..katika kitabu

cha
Yohane 16.23_24...

Inasema.. .....siku hiyo hamtaniomba chochote.. Kweli nawambieni . Chochote mtakachomuomba Baba kwa jina langu. atawapeni .mpaka sasa hamjaomba chochote kwa jina langu. Ombeni nanyi mtapata ili furaha yenu ikamilike...

Eee haya ndioyo maneno yawatu wenye hekima kuelezwa.

Sio uzushi wa bikila maria kuwa muombezi badala ya yesu. . Nasema tena hakuna andiko hata moja linalo sibitisha ndani yabibilia au kumpa mamlaka maria kuwa muombezi wa watu hakuna.. Wala watakatifu walio kufa kuombea watu walio hai hakuna. Maria nawatakatifu mnaowabandika kuwa waombezi wa watu hayo nimapokeo na yesu anayapiga teke mapokeo ya wanadamu..

bibilia haifichi inaendelea kuwekawazi

Marko 7.8 nanyi mnaiacha amri ya Mungu na kuyashika maagizo ya wanadamu..

Maanayake nini yesu mwenyewe anasema ombeni kwa jina langu mtapata mfulaishe nafsi zenu.. Wapi bibilia inaagiza maria awe muombezi au wafu wawa ombee wazima huu niuongo la labda niwakumbushe katika watu waliokufa mpaka leo hawajafufuka na Maria nimmoja wapo.. Sasa mufu anamuombeaje mtu mzima nawakati hajitambui..haya nimapokeo ambayo yesu anayakataa kabisa nami ninasema hana nafasi
 
Hapo nakuelewa mkuu...kumbe tunatakiwa kuomba kwa Jina la Yesu tu na sio Mariam wala wafu,si ndio?![emoji53]
 
Nduguzetu wa Rc tunayo mengi ya kuwafundisha.. Haya mazehebu makubwa yamekuwa yakiwalaghai watu nakuwaaminisha kwamba bila Rc ..au ruselani .au angirikani Aic.. Basi kwa mungu huendi.. Huuniuongo uliokomaa swala lakwenda kwa mungu nikutenda yaliyo mema hakuna cha wafu kuombea wazima hapa .. Bali kunamaandiko yanayo luusu watumishi wakiloho kuwasamehe zambi kuwaombea wagonjwa nakuwapa watu ubatizo tena bule siyo kama sasa ubatizo umegeuka dili .. Kwabaazi ya madhehebu hili nalo tutalisemea wakati ukifika.
 
Ehee hayo nimaandiko yaliko kwenye bibilia.. Na msemaji ni yesu mwenyewe..yesu anaagiza ombeni kwajina langu sio kwajina la maria wala kwa majina hao watakatifu waliokwisha kufa hapana..watu waliokwisha kufa hawaongei nabibilia inasibitisha hilo kama watu watabisha nikotayali kuleta maandiko mengi yakisibitisha kua wafu hawawezi kumuombea mtu yoyote hata kawe katoto kachanga.. Wafu hawa wezi
 
Hiyo mistari yote uliotuelekeza haimanishi chochote ktk hicho unachotaka kituaminisha kweli your poor in Bible knowledge,me nafikiri jambo jema turudi mada tusivuruge Uzi wa watu,usisome mistari mmoja biblia ndg zanguni....!biblia haisomwi hivyo jamani,biblia ni fasihi ya hali ya juu sana never happened
 
Sasa ngoja nikusaidie bibilia inasema yesu alifundisha kwa mifano na mafumbo lakini ilifika wakati akafundisha bila mafumbo.. Sawa kama mm ni poor simbaya wewe muelewa lete hata nukuta moja ya andiko wapi bibilia inasema wafu wawe waombezi wako ukinipa ilo andiko ninaacha kuingia jf na cm yangu nagawa au nauza .. Maana sitakuwa nahaja tena.. Maana mojawapo ya wafu maria nae ni mmojawao wala hajawakufufuka.. Naukitaka wapi maria kafa ntakupa andiko.. Lakini wewe kwanza lete nukta moja bibilia kuwa wafu wanaeweza kuwaombea wazima
 
Maria alipalizwa mbinguni pakikucha nitakuletea mstari labda ninukulu Ishara mkubwa ilionekana mbinguni Mwanamke aliyejipamba vzuri na taji la nyota kichwani mwake,ipo kkwenye Ufunuo asubuhi nitakupa vzuri zaidi
 
Biblia ni fasihi ya hali juu sana unatakiwa uombe msaada wa Mungu kabla hujaanza kuisoma,ila hatumtendei haki mwenye Uzi huu kwani nje ya Uzi kabisa.
 
Peleka ujinga wako mitaani huko....Kwanza kajifunze kuandika
 
wakatoliki na biblia wapi na wapi?? mi namuunga mkono luther....si mnaona nyie wenyewe mnavotofautiana kuna wale kama walokole na wengine tradional rc, mtu yeyote akisoma historia ya roma kwa muda mrefu ni rahisi sana kujitenga, upako mdogo mno.
Una muunga mkono kupunguza vitabu vya Biblia...???? Unayosababu iliyompelekea yeye kupunguza vitabu 7 vya AK....

Tupe sababu ya yeye pia kutaka kuondoa vitabu vya Ufunuo, Waebrania, na Yakobo....
 
Kuchangia siyo kuvuruga.Umegusa Imani. Bahati nzuri mada hii ya watu wa Imani moja. Katika Imani hii kila mchangiaji anagusa eneo moja tu kujenga au kubomoa.Ajengaye ni wa Kristo na anaye bomoa ni wa mwovu.
Mtihani wa hesabu kwanini utoe majibu ya Jiografia...????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…