Kitaja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 2,836
- 1,382
Mwanamke wa Ufunuo 12 ni Kanisa la Kristo,kitabu cha Ufunuo kinatumi lugha ya mfano. Mwanamke safi ni kanisa la Mungu linalotii amri zake, Kahab mkuu wa Ufunuo 17:5 ni kanisa lililoasi Amri za Mungu, ushahidi wa kibiblia unaonyesha kanisa hili ni Roman Catholic.Mnyama wa ufunuo 13 na 14 ni mamlaka ya kipapa.Utaona kuna mfanano mkubwa baina ya kahaba wa ufunuo 17 na mnyama w ufunuo 13 na 14.Hapa utaona kanisa la rumi likitumia nguvu za kisiasa kushinikiza ibada ya uongo."Wafalme wa nchi wamezini naye" . uzinzi hapa husimamia uasi wa Amri za Mungu. Kanisa la roma limeasi amri za Mungu na kuanzisha ibada iliyo kinyume na Mungu.Yaani wamebadili Sabato ya siku ya saba na kuifanya jumapili ambayo ni siku ya kwanza ya juma.wamebadili ubatizo kwa kunyunyiza maji badala ya kuzamishwa,Yesu hakunyunyiziwa maji alipokuwa mchanga bali alibatizwa akiwa mtu mzima ili nasi tufuate mfano wake. Kanisa la roma limeondoa amri ya pili inayokataza ibada ya sanamu na kanisa limejaa sanamu eti kwa majina ya watakatifu! Amri za Mungu katika kutoka 20 zimebadilishwa kama zinavyoonekana kwenye misale ya waumini.Wametimiza unabii wa Daniel 7:25." Naye ataazimu kubadili majira na sheria".Maria alipalizwa mbinguni pakikucha nitakuletea mstari labda ninukulu Ishara mkubwa ilionekana mbinguni Mwanamke aliyejipamba vzuri na taji la nyota kichwani mwake,ipo kkwenye Ufunuo asubuhi nitakupa vzuri zaidi