Hivi wewe ndo ulikuwa mpiga picha siku hiyo?
Hakuna picha iliyopigwa....Hilo ni bango limewekwa likiwa na picha ya mtu na limewekwa na watu wenye uelewa na walichokuwa wajua wanachokifanya....Nataka kujua hiyo picha ni ya nani. ..??
mmefanya photoshop hadi watu walioko kwenye picha hawaonekani.
Hizo picha zipo zipo kwenye mitandao na web site za Kisabato....Sasa unataka kusema nini...? Its a matter of time mtabadilika, Mama White alikuwa kichaa so, maamuzi aliyokuwa akiyatoa yalikuwa ni maamuzi ya kiwenda wazimu...Ila sasa wasomi wapo SDA watabadilisha vyote vya kichaa yule
Hujui pia Logo yenu imebadilishwa...??
Hata hivyo picha za kufundishia zipo tangu zamani
Kwa hiyo ile amri ya kujifanyia Picha wala Sanamu ya kilichopo mbingu au duniani ina-apply wapi...? Kwa hiyo ile amri ilisema tujifanyie picha na sanamu kwa ajili ya kufundishia ehhh..??
Ndugu! Unajichanganya.....
.waandishi walichora picha za manabii na mitume kwenye mapango, mawe n.k ili kuhifadhi kumbukumbu zao lakini kamwe hazikuwahi kisujudiwa
Umeanza kwa kukataa, na kusema ni photoshop, Ila sasa ukweli umeujua unakubaliana na mimi picha zipo kwaajili ya kufundishia sio.....So unakubali picha ni muhimu sio....Hahahaha...Mtaparanganyana sana Wasabato.....Yule Mama Muhuni Ellen G White aluwaingiza chaka...
Sasa niwakati wa mabadiliko na mabadiliko yanakuja....Stay tuned....GC sasa inakwenda kuidhinusha Wanawake kuwa wahubiri.....Tukae mkao wa kula....
Kwa taarifa yako picha zinatumika kwenye vitabu vya makanisa mbalimbali
Kwa wasabato picha si haramu...? Si upagani...?? Ni lini mmeanza kutumia picha kufundishia...???
Na ni makanisa gani hayo unayoongelea...?
Tunalibadili kanisa Taratibu ..Kaa mkao wa kule...
Mama Muhuni Kichaa, Ellen G White alikuwa na mihemko ...Sasa kikanisa chenu kinabadilika....Marekani huko kanisa linakufa maana mafundisho ya Mama ni kama laana...
ili kufundishia tofauti na hivyo vinyago mnavyoviabudu
Kaa mkao wa kula mabadiliko makubwa yanakuja....
Muhuni na Kichaa Ellen G White aliwaingiza chaka....Kazazi cha ku-reason kinakuja....SDA na GC huko Marekani kunafurukuta moto na Kanisa Linakufa...Stay tuned
We
Kitaja rudi kwenye hii post....Sio unakimbia ...Huwa sina tabia ya kusahau....Nipo na madudu ya GC leo na mfukuto unaondekea huko marekani